tutaishi milele
Member
- Dec 26, 2015
- 76
- 63
- Thread starter
- #61
Kama yapi mkuuKwenye huo mfumo kuna makosa mengi sana.
Kama yapi mkuuKwenye huo mfumo kuna makosa mengi sana.
Loh kuna watu mpo seriousHakuna mchawi hapo, Umenunua system ndogo sana capacity yake itakusumbua.
Mimi natumia solar kwa mwezi sasa nina panel 24 za watt 615 kila moja, Nina inverters 3 zenye MPPT zilizokuwa paralled kila moja ina 5.5Kw Jumla 16.5kW na Battery ya 14.5kw.
View attachment 3259016
Nawasha KILA kitu Fridge kubwa, Oven, Induction Cooker, Air Fryer, Microwave, Washing Machines na Computers, Routers mpaka machine za Welding etc na sijawahi kumaliza battery. Mpaka nimeacha kutumia gesi maharage nachemshia Induction cooker la 2500W.
Ukinunua usiweke system ya mawazo. Aim kureplace umeme wa TANESCO kwa ujumla ukichagua system ndogo utakuwa dissapointed
Nimefiri sana!!! Pia nimetafakari sana kuhusu huyu fundi! Kweli tupo wengi!!!Unakuwa kama solar ila huo nyaya haziunganishwi na solar panel ila inabidi uchomeke yanakotoka mavi yaani chooni
Na unabidi uwe na transformer maana umeme wake ni mkali mnoooooooooooo!!!
mkuu nielekeze njia tu nipge practical, ntaleta mlejesho hapaMkuu huo umeme wa mavi ni noumer sunner jaribu leo uone maisha yako yatakavyokushukuru
SureNimefiri sana!!! Pia nimetafakari sana kuhusu huyu fundi! Kweli tupo wengi!!!
Ni illegalmkuu nielekeze njia tu nipge practical, ntaleta mlejesho hapa
Nipe bei ya ilo betri lako na inveta...... .. Mimi pànel ninazoHakuna mchawi hapo, Umenunua system ndogo sana capacity yake itakusumbua.
Mimi natumia solar kwa mwezi sasa nina panel 24 za watt 615 kila moja, Nina inverters 3 zenye MPPT zilizokuwa paralled kila moja ina 5.5Kw Jumla 16.5kW na Battery ya 14.5kw.
View attachment 3259016
Nawasha KILA kitu Fridge kubwa, Oven, Induction Cooker, Air Fryer, Microwave, Washing Machines na Computers, Routers mpaka machine za Welding etc na sijawahi kumaliza battery. Mpaka nimeacha kutumia gesi maharage nachemshia Induction cooker la 2500W.
Ukinunua usiweke system ya mawazo. Aim kureplace umeme wa TANESCO kwa ujumla ukichagua system ndogo utakuwa dissapointed
haya buana illegalNi illegal
Ukigundulik unashtakiwa na TANESCOhaya buana illegal
ndio maana vipaji africa vinakufa, koz havina muendelezo.Ukigundulik unashtakiwa na TANESCO