Tatizo la ulevi Rombo: Wanawake wakodi wanaume kutoka Kenya kufanya nao ngono

Aiseeeeeee!!!!!!!

Yaani mimi nikipiga chupa ya Konyagi kubwa pamoja na Bia safari mbili tatu hivi nakesha kitu kipo nyuzi 90.

Nikikosa Konyagi natafuta Value nikiweka na safari mambo mukdeeeee.....

huu utafiti kuhusu Ulevi siyo sababu kubwa kwa hao wachaga wa Rombo kukosa kuwashughulikia wake zao. huenda wapo busy kwa biashara ndio maana wanakosa muda na uwezo. Kwani wachaga wengi wanaacha wake zao Moshi na wao wapo mikoa mingine kutafuta pesa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Kwa Rombo, tatizo ni kubwa zaidi tulionavyo. Kuna sababu nyingi kwa pande zote yaani wanaume na wanawake. Kwa upande wa wanaume, ni kweli kuwa ulevi unachangia lakini ni kwa nini wanalewa sana? Kuna madai kuwa natirally wanawake wa Rombo ni cold in love. Wanapokuwa vigoli hawagongwi ovyo na wakishaolewa, na baada ya kuzaa, kwao tendo la ndoa sio lazima. Lakini pia Wanawake wa Kirombo ni wababe kwa waume zao na ndo huendesha miji mingi. Pia inadaiwa kuwa Warombo ni wataalamu wa mitishamba
 
Wamewasili rombo
 
Attachments

  • 1432103611424.jpg
    1432103611424.jpg
    54.8 KB · Views: 337
Hili siyo la kupinga,
Moshi yote wala siyo rombo tu, ulevi umekuwa mkubwa,
tena wanakunywa chang'aa (gongo), viroba na hii wanaita ni banana,
Wababa japo siyo wote ila idadi kubwa wamechoka, hata kwa kumtazama tu unaona mtu amedhoofu.

Kuhusu uwezo wao wa kitandani siwezi kujua kwa kuwa sijawahi kuwa na mwanaume wa huko.
Pengine anti yangu miss chagga akipita hapa atasema zaidi.
Asprin hii imekaaje.
 
Last edited by a moderator:

wananguvu anti ..
 
hao manawake watakuwa machangudoa tu, kwan kenya pombe hazipo?, na kama wanawafuata hao wakenya mbona wanakuwa zaidi ya mmoja? huo ni uhuni tu
 
Nimeangalia jana hiyo ripoti kwa kweli inatia huruma hasa malighafi inayotumika kutengenezea hizo pombe.

Inafikia hatua wanachanganya na betri zilizoisha, Yaani wanatoa Unga wa ndani na kuchanganya na baadhi ya matakataka ndio inatoka gongo.

Seriali iwanusuru wananchi wa Rombo.
 
huu sasa ni udhalilishaji kwa sisi warombo itabidi tuandae maandamano kupinga huu uhuni wa baadhi ya waandishi wa habari. Watu wachache wanahojiwa wanachafua hali ya hewa ni upuuzi kabisa mi sikubaliani nao.
uandamane nini sasa?penye ukweli pasemwe bwana hata km c wote lkn waliowengi ni walevi kupindukia...na sio wa huko rombo tuu ni karibia moshi yote hai nako hali mbaya...jirekebisheni jamani
 
Kwa Rombo, tatizo ni kubwa zaidi tulionavyo. Kuna sababu nyingi kwa pande zote yaani wanaume na wanawake. Kwa upande wa wanaume, ni kweli kuwa ulevi unachangia lakini ni kwa nini wanalewa sana? Kuna madai kuwa natirally wanawake wa Rombo ni cold in love. Wanapokuwa vigoli hawagongwi ovyo na wakishaolewa, na baada ya kuzaa, kwao tendo la ndoa sio lazima. Lakini pia Wanawake wa Kirombo ni wababe kwa waume zao na ndo huendesha miji mingi. Pia inadaiwa kuwa Warombo ni wataalamu wa mitishamba

mkuu,

Sasa kama hawapendi tendo la ndoa inakuwaje waende Import from kenya na kutuharibia thamani ya pesa yetu. Kwani sasa Dola imefikia Tsh. 2,300/= kwa Dola moja. Uchumi unaporomoka na sababu moja ni kwamba tunaagiza bidhaa nyingi kutoka nje ya nchi kuliko tunavyouza nje.

kwa kuagiza bidhaa ya Ngono toka nje tunashusha uchumi wetu. Warombo inabidi watafakari hili, na ikiwa hapa Tanzania bidhaa hiyo hiyo inapatikana!!!!!!.

Basi waende hata vijiji jirani au waende mkoa jirani kuliko kwenda Kenya wanatudharirisha kwa kiasi kikubwa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Niliwahi kuandika hapa kipindi fulani kule rombo shule hazina watoto, tatizo ni wanaume kushindwa kuwazalisha wake zao kutokana na ulevi uliopindukia. Tatizo ni Kubwa something must be done to save this generation

Hili la Shule kukosa watoto sijui tuliwekeje. Nimeenda Shule niliyosoama Msingi nimekuta darasa la tatu wako 8 la kwanza na la pili 12 kwa 13

Ila si ulevi wengi wamehamia mjini na aliyepo kule hazai zaidi ya watatu tena kwa Intervals

Pia UMATI walifanya kampeni sana ya Nyota ya Kijani kule
 
Ivi ile tabia ya wachaga kuacha wake zao vijijini bado ipo, du december hadi december ni lazima wata import products kutoka kwa jirani:eek:
 
solution hapo ni kuwapelekea hao masela mademu wa kiswahili nafikiri kwa pale Tanga ndio karibu...mabinti wa moshi wanapenda hela kuliko malavidavi sasa msela kama huna kitu utaishia kustressika na kupombeka...solution ni watoto wa kiswahili, wale wanapenda mjifungie ndani na kucheki movie za kihindi...yani sometimes inabidi uforce akuachie uende nje ukatafute hela la sivyo mnaeza mka dedi kwa njaa ndani..
 
Ngoja nikaburudishe free rombo mie!nakuja na kikosi kazi changu kutoka zenji vijitu vimeshiba samaki full "genye"
 
Wanaume wa rombo wametia aibu sana. Tatizo wachagga hawajui mapenzi.. wanapenda pombe na wizi tu
 
Back
Top Bottom