Dah...hiz nyege ni noma jaman na mm nilikuwa nasemaga kama wewe kuna siku nikajaribu ilikuwa tam sanaaa yan had nikarudia mara nne. In short mara nyingi mambo ya chumban hayaelezekagi.Tamaa gani hata hivyo hadi umuingilie mkeo akiwa hedhi? Si mke wako tu usubiri jamani?
Hapa naongelea ukhanithi wa kuzaliwa nao na si ule wa kupata ukubwani kutokana na sababu mbalimbali kama maradhi ajali na ulemavu
Pamoja na kuwepo mabandiko mbalimbali kuhusu hili tatizo baya kabisa kwa wanaume lakini Inasemekana kuwa kwenye ulimwengu wa giza majini ndio chanzo
Iko hivi mara nyingi watu hukatazwa/hushauriwa wasifanye ngono mwanamke anapokuwa hedhi, sababu kubwa ikiwa ni afya
Lakini kwenye ulimwengu wa mambo ya giza maelezo ni tofauti kabisa
Mwanamke anapokuwa hedhi halafu mwanaume akataka kumwingilia,jini humtangulia na kupiga cha fasta hivyo jamaa anapokuja kumaliza jini anakuwa ameshamaliza kitambo
Huyu mwanamke akishika mimba na kujifungua huyo mtoto atakuwa khanithi bila kujali jinsia,sababu kubwa ni kwamba jini ana umbo la moto na binadamu ni hewa,maji na ardhi hivi vitu vyote havipatani na moto
Kwahiyo bandugu mnaokosa uvumilivu kipindi cha hedhi habari ndio hiyo
Dah...hiz nyege ni noma jaman na mm nilikuwa nasemaga kama wewe kuna siku nikajaribu ilikuwa tam sanaaa yan had nikarudia mara nne. In short mara nyingi mambo ya chumban hayaelezekagi.
Mghosi
Duu ukala hivyo hivyo tena ukarudia mara nne!?jini alikusaidia hapo mlikua mnakula "mande"
Kwan mimba inatunga siku ya ngapi baada ya hedhi nataka kujua hili kwanza.Hapa naongelea ukhanithi wa kuzaliwa nao na si ule wa kupata ukubwani kutokana na sababu mbalimbali kama maradhi ajali na ulemavu
Pamoja na kuwepo mabandiko mbalimbali kuhusu hili tatizo baya kabisa kwa wanaume lakini Inasemekana kuwa kwenye ulimwengu wa giza majini ndio chanzo
Iko hivi mara nyingi watu hukatazwa/hushauriwa wasifanye ngono mwanamke anapokuwa hedhi, sababu kubwa ikiwa ni afya
Lakini kwenye ulimwengu wa mambo ya giza maelezo ni tofauti kabisa
Mwanamke anapokuwa hedhi halafu mwanaume akataka kumwingilia,jini humtangulia na kupiga cha fasta hivyo jamaa anapokuja kumaliza jini anakuwa ameshamaliza kitambo
Huyu mwanamke akishika mimba na kujifungua huyo mtoto atakuwa khanithi bila kujali jinsia,sababu kubwa ni kwamba jini ana umbo la moto na binadamu ni hewa,maji na ardhi hivi vitu vyote havipatani na moto
Kwahiyo bandugu mnaokosa uvumilivu kipindi cha hedhi habari ndio hiyo
Yan km inafkia hatua unamuingilia mkeo wakat wa hedh hyo sasa n tamaa isistahili utakua unasukumwa na jin la ngono
Kwanz unaanzaje kuvumilia midamu yote mm cwez kwakweli kwanza hata kunwangalia noo????
Ivi hakuna anayejua kua mimba inaweza kutungwa siku ya baada ya hedhi?.
Kama jini anamwingilia mwanamke cku ya hedhi basi haitawezekana kua na mimba ya jini.