Tatizo la Ucheleweshwaji wa Mikopo Benki ya CRDB

Walishaniwekea mkuu, siku nimejiandaa kwenda kuabort mkopo kwakweli nilijiandaa kishari kabisaa lakini yule dada wa mikopo anakanambia kua tayari wameshaniwekea masaa machache waliyopita na akanionesha pale kweli nikaona mzigo upo
Basi nikaondoka pale kwa furaha zotr na kwenda bar nikupongeza kidogo

Hongera sana mkuu ila hapo kwenda Bar kujipongeza
 
Kwa kweli hawa jamaa wamenikosesha kabisa malengo yangu. Kwa kweli nitatafuta usaidizi wa kisheria kabisa kwa walichoandika ndani ya 24 lakinni hakuna kitu. Hii ni wiki ya 2 tangu niombe lakini sioni chochote,
 
Back
Top Bottom