Tatizo la Tecno p5

Tatizo la Tecno p5

Reset simu yako....itakuwa -pouwa zaidi....
-hakuna kuload.....
- itakuwa fasta kama ulivyoinunua..
Hiyo simu ina virus anaitwa Monkey Test, au Adobe air, angrica, Measure, Pro, mpigie fundi jeny posta anazitoa simu no. 0754291099 yupo jengo empress cinema, ni fundi mzuri.
 
Hiyo simu ina virus anaitwa Monkey Test, au Adobe air, angrica, Measure, Pro, mpigie fundi jeny posta anazitoa simu no. 0754291099 yupo jengo empress cinema, ni fundi mzuri.

Hii ina mhusu mkuu dedam, ila tatizo yaweza kuta anaishia mkoani...huyo jeni wa posta ?tampata vipi mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Hii ina mhusu mkuu dedam, ila tatizo yaweza kuta anaishia mkoani...huyo jeni wa posta ?tampata vipi mkuu?
Posta, Mnara wa Askari (Bismini) karibu na Hamidu Mobile shop, kuna mgahawa jengo la empress cinema ya zamani kwa juu, au opp na IPS building, unaweza ulizia mafundi viatu maharufu wanamjua au mafundi saa. au mpigie 0754291099
 
Hahaaa!

Ni vizuri ukam-qoute dedam manake simu yake ndo yenye tatizo... Mimi ni mchangiaji kama wewe tuu...
 
Last edited by a moderator:
hizi ndizo virus
Virus_zpsdxgclb06.jpg
 
Root si solution ya kila kitu,

Huwenda una setting mbaya za internet ndio maana picha hazidownload na net ipo slow au upo eneo hauna 3g. Fanya mambo haya

1. Angalia juu ya simu mtandao unasoma G au E au 3g au H au h

2. Nenda setting then kwenye wireless and network nenda more halafu nenda mobile network halafu acess point nisomee jina setting za internet kama ni wap au web au internet

Mtandao unasoma E, setting inasoma tigoweb mkuu, pia iko kwenye 2g/3g auto mkuu
 
Mtandao unasoma E, setting inasoma tigoweb mkuu, pia iko kwenye 2g/3g auto mkuu

Upo eneo lenye 3g? Anza na kueka 3g only uone kama utapata 3g, kama hupati itabidi utafute mtandao wenye 3g ili uweze kupata mtandao wa kasi
 
Upo eneo lenye 3g? Anza na kueka 3g only uone kama utapata 3g, kama hupati itabidi utafute mtandao wenye 3g ili uweze kupata mtandao wa kasi

Niko Dar, maeneo ninayotembelea ni Tegeta, Sinza, kndoni Msasani nk, mtandao tigo. Naomba unishauri kutokana na taarifa hiyo mtandao gani utanifaa. Asante kwa ushauri Na pia nikupongeze kwa Kazi kubwa na nzuri unayoifanya kuelimisha jamii, Na Kwa wakati. Tafadhali pokea shukranj zangu za dhati.

Acha nijaribu kuweka 3g only kama ulivyoahauri, nitarudi
 
Back
Top Bottom