shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,532
Habari wa tech
Simu yangu ya tecno Ina shida ya kubadili majina tofauti na nilivosave mathalini jina la huyu atapewa huyu wengine inaunganisha kitu inachonipa shida sana kwenye mawasiliano nafikiria nikusanye pesa ninunue simu ya kistaarabu but in short run naomba suluhisho LA tatizo hili kwani napata usumbufu has a wakati wa kupiga au kupigiwa simu upande wa meseji inabidi nikumbukr kwanza meseji za juu nilichat na nani, hii ni taabu sana jamani.