Tatizo la switch Button kwenye Kompyuta ya Dell, naomba msaada

Tatizo la switch Button kwenye Kompyuta ya Dell, naomba msaada

Maserati

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
11,602
Reaction score
20,101
Kuna mtu wangu wa karibu ana tatizo, Pc yake aina ya Tajwa hapo juu (Dell Icore3) ina tatizo katika switch yaan power button, haibonyezek kwwnda ndani wala haitoki kwa nje, imekuwa ngumu sana.

Na kibaya zaidi ni kuwa inawaka na kujizima within a little seconds. Inaingiza chaji na kila kitu ila tatizo hapo tu. Naomba msaada ikibidi tupate hata adress za fundi nimsaidie shoshtito wangu.

Msaada wenu wakuu.
 
Tafuta Kifaa Cha Kufungulia Afu Ingia Google andika Model Ya Pc yako afu malizia How to open Keyboard Baada ya hapo Utaona kibat chenye button ambacho kina power pia
unawea kutumia sindano kukibonyeza kibati kipande juu
hope ukifungua utaelewa tu na utasolve
 
Back
Top Bottom