wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 871
Habar za wikendi ndugu, kuna subwoofer yangu na TV kuanzia juzi zinatoa mlioa ka muungurumo wa genereta wakati mwingne zinatulia but muda tena huanza sasa sjui tatizo nini maana huo muungurumo unasumbua sana, natumia umeme sio genereta. Msaada ndugu.