Tatizo la Space kwenye Samsung S3

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,651
Reaction score
3,822
Wadau natumia samsung galaxy s3 ambayo internal memory ni 16gb ila sasa hv nikiangalia naona internal ni 11.23gb, hapa nimeshindwa kuelewa hizo zingine ziko wapi then space imekuwa ikiisha mara kwa mara kuna wakati nlifuta vitu kukawa na km mb 700 free space ila ss hv zimebaki 200 na media contents nying huwa nazifuta.

Kwa wajuzi em naombeni msaada hapa
 

Attachments

  • 1427527340846.jpg
    44.1 KB · Views: 164
zinauzwaje hizo galaxy s3, na ram yake ni ngapi?
 
kwa ninavyojua mimi nyingine zinasave system files and other stuffs ukiacha hiyo inayobaki kwa ajili ya vitu unavyoweka mwenyewe.
simu yangu internal memory ni 4gb, lakini inayoonekana na ninayoweza kuitumia ni 1.22gb
 
mbona simu ulivyonunua hujauliza mbona kwanini imekuja na vitu?

ulipoiwasha mara ya kwanza hivyo vitu ulivyoviona kama gallery, sms, call, calendar, setting, walpapers nk ndio vimekula hio space.

pendelea kutumia file manager then zurura kwenye mafolder kama downloads ili kuclear setup za mafile na mafile mengine ambayo hayapo recognised na simu
 

ok hapo kwenye icons nimekupata vyema ila hayo ya ku clear ni km yapi chif? mana the remaining space huwa inapungua af nashndwa kuelewa inapunguzwa na nn
 
kwa ninavyojua mimi nyingine zinasave system files and other stuffs ukiacha hiyo inayobaki kwa ajili ya vitu unavyoweka mwenyewe.
simu yangu internal memory ni 4gb, lakini inayoonekana na ninayoweza kuitumia ni 1.22gb

nimekupata man
 
ok hapo kwenye icons nimekupata vyema ila hayo ya ku clear ni km yapi chif? mana the remaining space huwa inapungua af nashndwa kuelewa inapunguzwa na nn

Tafuta program kama CleanMaster au clean utility yoyote kwenye playstore itakusaidia kupata more free space maana huwa zinafutwa caches na temporary files zinazotengenezwa na application kwenye simu yako.
Nadhani hii itakusaidia kama pia utakuwa unatumia genuine phone na sio zile clone ambazo huwa na namba kubwa ila uwezo mdogo.
 
nnayo moja inaitwa du speed ila naona ka haina msaada kiivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…