Tatizo la simu yangu inachelewa kujaa chaji

geraldincredible

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
2,036
7,195
Wakuu natumia simu aina ya samsung note9, ilikua inachaji fresh with dk 55 simu imejaa chaji yale ilikua fast charge...ghafla imezngua sasa hivi masaa matatu chaji iko asilimia 40.

tatizo linaweza kuwa nini?

Natanguliza shukrani.
 
Hapo tatizo ni Betri, alafu zilivyo za kijinga ukiwasha unakuta limejaa ata kwa asilimia 95, 98, 85 nakadhalika. Kwahiyo tafuta betri mpya sema kupata lenyewe ndio shida
 
Hapo tatizo ni Betri, alafu zilivyo za kijinga ukiwasha unakuta limejaa ata kwa asilimia 95, 98, 85 nakadhalika. Kwahiyo tafuta betri mpya sema kupata lenyewe ndio shida
nilienda mlimani city maduka ya samsung betri 150k
 
Hahaaaa, mlimani city lazima wakwambie bei hizo mkuu. Ila kiukwel kupata betri lenyewe lazima hela ikutoke haswa la sivyo uende Kariakoo pale China Plaza utapata yale ya 25,000 hayo angalau kidogo utasukuma siku. Ukijichanganya ukanunua mtaa wa agrey utajua
nilienda mlimani city maduka ya samsung betri 150k
 
Back
Top Bottom