Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 1,977
- 3,302
Wakubwa heri ya Mwaka mpya. Pole sana na Majukumu yenu.
Moja kwa Moja bila kupoteza muda niende kwenye mada. Kuna Rafiki yangu amepata tatizo la sikio kuwa linapiga kelele sana wakati wote pia linakua zito, kusikiliza akiwa anaongea.
Amejaribu kutumia Boric Acid lakini Bado hakuna jipya sikio lake kurudi kwenye uhalisia.
Msaada wenu wakuu.
Natanguliza shukrani.