Tatizo la Printer Epson L382 kuprint

Tatizo la Printer Epson L382 kuprint

mwakabala

New Member
Joined
May 12, 2021
Posts
2
Reaction score
0
Habari, Naombeni msaada printer Epson L382 inaprint inaandika mara mbilimbili tatizo litakua nini?
IMG_20210513_124155.jpg
 
Unapoingiza wino lasiza ufanye setup upya tofauti na hivo lazima ilete tatizi furani, maybe, maandishi hayaonekani vizuri, kuprint mara mbili mbili, au kugeuza maandishi, nk. Kama unaswali lingine niulize
 
Setup wamaanisha re-installation?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom