Wadau naomba msaada kujua, mimi nina printer desk jet d2400 nilikuwa nikiitumia zamani toka 2010 sijawahi kuitumia sasa jana niliamua kuitumia lkn cha ajabu haiprint sijui tatizo litakuwa ni nini bado mpya hata ule wino wa kuja nayo ulikuwa haujaisha.