Tatizo la Polisi Failures na Vyeti Feki litaendelea kutugharimu

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,502
86,050
Yes, hawa wangekua Sio form four failures, Laiti wangekua na Vyeti halisi, Laiti wangekua na "akili" kidogo tu tusingepoteza maisha ya ndugu zetu.

Naitisha wito in the future, Police wawe Sio Vijana WA Mtaani, sio Wa kuokoteza na kuwaweka Jeshini. Leo tumempoteza Daniel na Aquilina, kumbuka kuna siku Utakua wewe!! Lazima polisi wawe independent! Tujifunze kua na busara kama Askari wa jirani. Siku Ile Kenya ingekua ndio viaskari vyetu Hivi basi vifo vingekua vingi Sana

Kenya wametuzidi akili saaaana.
 
Akili zinawapoteaga depo, na hivi yamekua manyumbu yanapelekwa pelekwa
 
Kuwa failures na vyeti feki sidhani kama inawezakuwa sababu kubwa ya wao kufanya haya mauaji......... Wakifika si huwa wanapewa mafunzo? Nikionacho hapa wao ni wanatii na kufuata maagizo ya mabosi wao tu. .... Iko siku watahama mitaani tunapoishi nao!
 
Tatizo ni lao na la viongozi wao, kwanini watumie risasi na sio mabomu ya machozi kutuliza gasia, na wakati hao wanaowatuliza hawana silaha zozote kama sio ujua wa kuanzia huko juu kwa viongozi wao, ni kitu ambacho kilikuwa planned kuwa risasi zibebwe na zikatumike, mbona awamu za nyuma hivi vitu havikuwepo

Alafu wanajifanya kugharamia mazishi ya huyo mwanafunzi? What for, roho ishatoka, there is no way wataweza kuirudisha, waangalie wanamsaidia vipi mama marehemu ambaye alikuwa anamsomesha mwanae kwa shida akijua kuna siku huyo mtoto atakuja kumsaidia
 
Kuwa failures na vyeti feki sidhani kama inawezakuwa sababu kubwa ya wao kufanya haya mauaji......... Wakifika si huwa wanapewa mafunzo? Nikionacho hapa wao ni wanatii na kufuata maagizo ya mabosi wao tu. .... Iko siku watahama mitaani tunapoishi nao!

Exactly
Wanafanya wanachoambiwa
Hata hao waliowakamata ni danganya toto, ngoja tuone mwisho wake
 
  • Thanks
Reactions: Mj1

Ni kweli wanaotoa maagizo ndio hao wenye degree zao.
 
Exactly
Wanafanya wanachoambiwa
Hata hao waliowakamata ni danganya toto, ngoja tuone mwisho wake
Mwisho tutaambiwa kuwa risasi iliyomuua mpendwa wetu haikutoka kwenye silaha za askari bali za waandamanaji ambao (kama alivyosema Bwana yule kuwa nao walikuwa na silaha na kuwashambulia polisi).

Hivi hawa waganga wanaotangaza dawa za limbwata, kupata mwenza, utajiri n.k. kama wapo kweli au wataalamu toka kule Sumbawanga, Gamboshi n.k. hawawezi kusaidia kufanya mambo mengine? ?

Mwenye simu ya Mzee wa Vijisenti hebu atusaidie maana anawezakuwa msaada kiaina hapa.
 
Kuwa failures na vyeti feki sidhani kama inawezakuwa sababu kubwa ya wao kufanya haya mauaji......... Wakifika si huwa wanapewa mafunzo? Nikionacho hapa wao ni wanatii na kufuata maagizo ya mabosi wao tu. .... Iko siku watahama mitaani tunapoishi nao!
Mkuu kama walikaa miaka mnne na wakafeli darasani, kwann wasifeli mafunzo ya miez sita pale ccp...?
 
Kuwa failures na vyeti feki sidhani kama inawezakuwa sababu kubwa ya wao kufanya haya mauaji......... Wakifika si huwa wanapewa mafunzo? Nikionacho hapa wao ni wanatii na kufuata maagizo ya mabosi wao tu. .... Iko siku watahama mitaani tunapoishi nao!
kama form four walifeli hayo mafunzo yataingia kweli akilini?
 
Ya darasani ya kuelewa walifeli ila ya kukariri..haya ya usipige risasi kichwani piga miguuni V/S Archmedes Principles, Speed, time and velocity sijui Ma- rift valley, hills and topographical maps havilingani mkuu.

Kufeli masomo ya darasani sio kufeli practical aisee..........(Ni mawazo yangu lakini)
 
Muingiliano ni mkubwa sana...

Uwezi ukasoma projectile motion kwa nadhalia ukafeli vitendo, virce versa is not true
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Yes, hawa wangekua Sio form four failures, Laiti wangekua na Vyeti halisi, Laiti wangekua na "akili" kidogo tu tusingepoteza maisha ya ndugu zetu.

Naitisha wito in the future, Police wawe Sio Vijana WA Mtaani, sio Wa kuokoteza na kuwaweka Jeshini. Leo tumempoteza Daniel na Aquilina, kumbuka kuna siku Utakua wewe!! Lazima polisi wawe independent! Tujifunze kua na busara kama Askari wa jirani. Siku Ile Kenya ingekua ndio viaskari vyetu Hivi basi vifo vingekua vingi Sana

Kenya wametuzidi akili saaaana.
Ukishajiriwa akili zako unamkabidhi mkuu wako wa Kazi,kule ni amri hakuna kuhoji,ukiajiri msomi ukimpa amri hawezipokea atahoji,akihoji kazi haiendi.
 
Back
Top Bottom