Tatizo la Pc kuganda(stuck) Hadi Urestart linasababishwa na nini?

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,869
Reaction score
2,119
Habari wadau, Nina tatizo fulani hapa kuhusu PC yangu ni HP Compaq Pro dc 6300 Microtower, Ina tatizo muda Fulani inakuwa inaganda! Haileti Screen of Death inaganda tu na kila kitu kinasimama ghafla hadi urestart! Nimejaribu kubadili Hard disk ila bado Tatizo bado linakuwepo! Naombeni msaada wataalam wa IT.
 
Wakati mwingine huwa ni tatizo la harddisk na hasa ikiwa bad clusters , lakini pia kuna tatizo la os unayo itumia , wakati mwingine kuna software incompatibility, kuna swala la hardware pluged in, so matatizo ya computer huhitaji sana history, jee imeanza kufanya hivyo baada ya kufanya nini au kuingiza kipi kwa computer yako

Na je inapo stuck kuna sauti yeyote unaisikia kutoka kwenye harddisk au spkers?na iki stuck kuna maandishi yeyote inakuletea oabda blue white, or black screen au ina stuck on os to off Ndio maana computer inahitaji sana uelewa kuna watu wao kila tatizo wanacho jua ni kushusha window lakin kwa fundi mtaalamu swala la kushusha window ni la mwisho kabisa .
 
RAM na HDD most of the time na sometimes inakuwa issue ya Motherboard.
Issue ya ram na hdd ni suala la kubadili tu but km ni motherboard imechoka then inaelekea kufa
 
Kama iliweka restore point jaribu kuirestore au kama ni win8 or 10 jaribu kureset
 
Wakati mwingine huwa ni tatizo la harddisk na hasa ikiwa bad clusters , lakini pia kuna tatizo la os unayo itumia , wakati mwingine kuna software incompatibility, kuna swala la hardware pluged in, so matatizo ya computer huhitaji sana history, jee imeanza kufanya hivyo baada ya kufanya nini au kuingiza kipi kwa computer yako

Na je inapo stuck kuna sauti yeyote unaisikia kutoka kwenye harddisk au spkers?na iki stuck kuna maandishi yeyote inakuletea oabda blue white, or black screen au ina stuck on os to off Ndio maana computer inahitaji sana uelewa kuna watu wao kila tatizo wanacho jua ni kushusha window lakin kwa fundi mtaalamu swala la kushusha window ni la mwisho kabisa .
Mkuu Dell yangu nikisleep inastack na kama ilikuwa inapiga mziki basi utaskiaa karrrrrrrr kwenye speaker
 
Back
Top Bottom