kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,426
- 16,212
wakuu nina laini tatu;nikiweka tigo internet inakubali;nikiweka zain internet inakubali;nikiweka vodacom inakataa jibu linakuja setting failed sasa naomba msaada kwa mwenye ufahamu simu ni nokia asha 311 asante