Katiba ya CCM haiwezi kubaki kama ilivyo kwasabb katiba mpya itailazimisha katiba ya CCM kubadilikaCCM wanavyohandle maoni ya Ndugai, inaonyesha kabisa kwamba hata tukiwa na katiba mpya na katiba ya CCM ikabaki kama ilivyo; bado haratakuwa na demokrasia katika nchi.
Huwezi kumtathmini mtu ambaye hujampa kazi. Aliyepewa dhamana na umma ni CCM.Unaposema tatizo ni CCM kwani hao watu wanatofauti gani na sisi wengine? Unataka kuniambia vyama vingine ni watakatifu ila CCM tu ndio Wachafu? Kwa Maoni yangu viongozi wote hawana tofauti kubwa sema tofauti yao ipo moja kupata nafasi y kuongoza na wengine hawana ila kitabia wanafanana
Wengine ambao hawana wanatuonesha makucha yao mapema wamekuwa wateteaji wa mabeberu na Wana wenyekiti wa wa muda mrefu ikiwa tu hapo bado hawajapata dhamana vipi kama wakipata dhamana hali itakuaje?Huwezi kumtathmini mtu ambaye hujampa kazi. Aliyepewa dhamana na umma ni CCM.
Tofautini nikubwa sana kati yenu na watu wengine wizi wa kura na kukata wagombea wenzenu mapanga wakati wakurudisha form za uchaguzi unaona sawaUnaposema tatizo ni CCM kwani hao watu wanatofauti gani na sisi wengine? Unataka kuniambia vyama vingine ni watakatifu ila CCM tu ndio Wachafu? Kwa Maoni yangu viongozi wote hawana tofauti kubwa sema tofauti yao ipo moja kupata nafasi y kuongoza na wengine hawana ila kitabia wanafanana