Tatizo la nafasi kwenye External HDD naomba msaada

Tatizo la nafasi kwenye External HDD naomba msaada

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,781
Reaction score
16,931
Wakuu salama,

Naomba kusaidiwaa tatizo la External Hard Disk kama ifuatavyo;
nina hard disk ya ukubwa wa 2TB sijafanikiwa kuitumia kwa matumizi makubwaya ukubwa wake kwa sababu inaonekana haichukui zaidi ya GB 27.9

Yaani kama na save data ikifika ukubwa wa GB hz 27.9 inakuwa haipokei tena data. inaandika i/o error nimehisi inawezekana kuna setting ya ku-limit capacity kwa ukubwa fulani tu ndo utumike.

Naomba wataalam wa haya mambo mnisaidie tafadhali namna ya ku-settle hilo tatizo ili niweze kutumia kwa ukubwa wake.

Asante.
 
Back
Top Bottom