Hizo ni tonsil stone, zinatibika kwa ku gagle na maji vuguvugu yenye chumviHiyo hali imenitokea wiki 2 zilizopita nilipata shida kwa mda wa wiki 1, dalili ilianza kama mafua makali, kinywa kilikuwa kichungu, baada ya hapo kooni kunakuwa kama kuna kitu, ukilazimisha kukohoa tunatoka tupande tweupe tugumu tunanuka, kwa sasa mi niko fresh.
Mama watoto nae kabanwa na hali hiyo nae anasema kama kuna kitu kipo kooni akilazimisha kukohoa tunatoka huto tujamaa tweupe tugumu.
Ko nami nimetia kambi hapa kujua hali hiyo inasababishwa na nini na tiba yake ingawa mi nilipona bila kutumia tiba yoyote.
Acha kunyonya nyuchi chafu utaoza kooWakuu habari ...
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana.
Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post nasal drip... Nikapewa dawa na kushauriwa kutumia mouth wash.
Lakini bado tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada tafadhalini hili tatizo linaninyima amani.
Dawa gani nitumie niondokane na hili hali?
Kunywa dawa za kusafisha tumbo.Wakuu habari ...
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la mucus kwenye koo linalopelekea nitoe makohozi yenye harufu mbaya sana na kinywa kunuka sana.
Nimekwenda hospitali nikabainika tatizo la post nasal drip... Nikapewa dawa na kushauriwa kutumia mouth wash.
Lakini bado tatizo liko pale pale.
Naombeni msaada tafadhalini hili tatizo linaninyima amani.
Dawa gani nitumie niondokane na hili hali?
Mimi siyo daktari lakini utu uzima umenipa kupitia mengi.Kama ipi mkuu?
Ukiiwazia sana ile kitu lazima iache kufanya kazi yake ipasavyo hasa kuwaza namna ya kuwaridhisha wanawake focus na mkeo achana na hao wengine.Sijawahi kufanya hivyo boss