Churamagamba
Member
- Dec 25, 2013
- 36
- 5
Poleni kazi!
Ni tangu usichana wangu matiti yangu yamekuwa yakitoa vimajimaji, nilishawai kwenda hospitali tofauti tofauti lakini tatizo lipo pale palei ila hakuna maumivu yoyote, na si mjamzito.
Naomba msaada wenu. Je,tatizo hili linasababishwa na nini na tiba yake ni ipi?