Tatizo la matiti kutoa maji maji

Churamagamba

Member
Dec 25, 2013
36
0
Poleni kazi!

Ni tangu usichana wangu matiti yangu yamekuwa yakitoa vimajimaji, nilishawai kwenda hospitali tofauti tofauti lakini tatizo lipo pale palei ila hakuna maumivu yoyote, na si mjamzito
.

Naomba msaada wenu. Je,tatizo hili linasababishwa na nini na tiba yake ni ipi?
 
BARIADI-KWETU

Senior Member
Dec 30, 2013
173
0
Poleni kazi! ni tangu usichana wangu matiti yangu yamekua yakitoa vimajimaji, nlishawai kwenda hosp tofauti tofaut lkn tatizo lipo palepale. ila hakuna maumivu yoyot, na si mjamzito

Mh! yana rangi gani? isje kuwa Maziwa ziwa, pia chek kama kuna lump somewhete, pia ningependa nijue

1.Size ya Matiti yako makubwa sana au Madogo kuliko kawaida
2. pubic hair patern yako, una mavuz mengi sana au vya mbali mbali?

3. je siku zako zko sawa, dany hutoka nying sana au kidogo sana?

4. je wewe ni mnene sana?

5. huna vijindevu na vinyweleo ving kama Esau?

6.Ulivunja ungo na Umri gani?

Nijibu haya Nikusaidie, ukiona aibu njoo PM
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
25,966
2,000
Mkuu Churamagamba njoo umjibu Mkuu Bariadikwetu ili msaada utolewe haraka kwa tatizo lako ama uko PM
 
Churamagamba

Member
Dec 25, 2013
36
0
Nilivunja ungo nikiwa nga miaka 13, mavuzi yapo kwa kiasi, hapo maji hayanag harufu wala rangi yoyote, na nina matiti madogo, na ni mnene japo si sn, msaadap tafadhal
 
BARIADI-KWETU

Senior Member
Dec 30, 2013
173
0
Nilivunja ungo nikiwa nga miaka 13, mavuzi yapo kwa kiasi, hapo maji hayanag harufu wala rangi yoyote, na nina matiti madogo, na ni mnene japo si sn, msaadap tafadhal

Ongelea kuhusu siku zako damu hutoka nying au kidogo, je siku zako ni regular au hubadlka badlka?
vp ndevu?

Jibu hili ili nikirud tumalzane kabisa.
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,849
2,000
Cheki au upime 1.Hormone imbalance
2.Ufanye na CT-head,kuangalia kama kuna uwezekano wa uvimbe kwenye tezi ina control hormonal secretion(ant lobe of pituatary gland)
 
kamcute

Member
Sep 27, 2013
9
0
Mh mwekundu ct scan tenaa. Mm kuna kipnd yanatoa maji na nikiendelea kuyabinya after smtym yanatoa maziwa maziwa. Kuna kipndi yanakauka kabisaaa . My days are not stable . Normal bleed. It started aftee using power safe injections. Pls advc me.. halafu pia ina madhara maana ni kama mwka wa pili sasa
 
mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,849
2,000
Mh mwekundu ct scan tenaa. Mm kuna kipnd yanatoa maji na nikiendelea kuyabinya after smtym yanatoa maziwa maziwa. Kuna kipndi yanakauka kabisaaa . My days are not stable . Normal bleed. It started aftee using power safe injections. Pls advc me.. halafu pia ina madhara maana ni kama mwka wa pili sasa

Kitaalamu kwenye tezi ya pituitary gland_ni sehmu ya ubongo kukiwa na uvimbe inasababisha hivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom