Apana unatawaza uso 3timesMaji ya chumvi nayaweka au?
Uvimbe uchungu.Ndo kidude gan
SawaHuku kwetu maji ya magadi lakin hayafui dafu although nimepew ushaur wa kitaalam na mtu wa karibu kesho naanza dozi. Thanks for concern
Wakuu kwema?
Kuna changamoto hapa jicho limetoa kijipu kina takriban miezi mitatu hakiponi wala hakipotei kama kilivyoadiriwa.
Ni dawa gan inatibu hili?
View attachment 3294721
Cc. DR HAYA LAND