Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Pole na bibie pia au ni wewe tuu peke yako.ebu tumia hiyo dawa ulopewa hapo juu ikifaa utujulishe.

Kweli JF kuna vituko....kuna haja ya utambulisho wa jinsia kwenye user names zetu....me WAKIUME JAMANI!!!

Asante kwa ushauri Ni tayafanyia kazi....!!!!
 
Mkuu hiyo kitu ni noma sana,inaweza ikawa fungus au ukawa una.alergy ya yeast-kama unawashwa sehemu za haja kubwa
nakushauri utumie dawa inaitwa Locoid 0,1 na utumie ifuatavyo: paka asubuhi na jioni kwa wiki moja. Alafu paka asubuhi tu kwa wiki ingine, alafu paka mara 3 kwa wiki inafuatia alafu paka kila siku kwa wiki ingine moja.
Pia nakushauri uache bia na vyakula vyenye yeast, zingatia usafi sana na kula mboga za majani.
Pole sana mkuu

Kaka nitalifanyia kazi wazo lako....sinywi pombe, nakula sana mboga za majani, siku mbii hazipiti sijala mchicha, tembele au chinise. Asante kwa ushauri....!!!
 
mkuu utamaliza hizo dawa na hela pia utaishiwa na bado fangasi hawataisha, tafadhari jaribu ndimu kama nilivyokushauri hapo juu, mwenyewe utaniambia ni siku 2 tu kwishney, usipoteze hela na muda kwenda pharmacy


Kaka nimekusoma....ninaufanyia kazi ushauri wako....!!! ASANTE SANA MKUU!!
 
Kuna dawa nyingine yaitwa SONADERM-GM.
Unapaka mara 2, iwe baada ya KUOGA.
(SKIN CREAM)

Hii ni "FOR EXTERNAL USE, KAMA UNA MICHUBUKO TAFADHALI USITUMIE"
 
nenda hospital, kama hizo fangas ni za muda mrefu inawezekana wamekuwa chronic , hivyo inawezekana ipo hadi kwenye damu, itabidi upate na dawa za kumeza, kama ipo kwenye damu haiwezi kwisha kwa dawa ya kupaka tu,

dawa nzuri ya kumeza inaitwa ketocunazole(ya malysia ni nzuri zaidi) na dawa nzuri ya kupaka jaribu gentrisone. fangas kama wamekuwa chronic inabidi itibiwe kwa muda mrefu, madakatari wengi watakuambia unywe kwa siku5/10 , baada ya hapo utashangaa inarudi tena! Kama ni vidonge vya kumeza hata dawa ya kupaka nina-recommend utumie kwa siku 45 hata baada ya kuona umepona. Utatupa majibu mkuu
 
Pole sana, hiyo inaitwa vaginal candidiasis. Inaweza kutibiwa kwa dawa za kuweka Kama clotrimazole, gynozol vaginal cream ama gelatin capsules. Kuwa msafi, cotton under pants. Kama kuna uchafu wenye harufu wewe na partner wote mwatakiwa kumwona daktari na kupata matibabu! Pia uchunguzi Wa saratani ya shingo ya kizazi ni muhimu kwa kila mwanamke mwenye mahusiano ya tendo la ndoa angalau mara Moja kila mwaka

Umejuaje kama yeye ni mwanamke?
 
Sasa inabidi useme kwanza wewe ni jinsia gani ili tukusaidie,lakini hata hivyo kama wewe ni mwanamke naweza ita hiyo kitu ni vaginal candidiasis,so waweza tumia clotrimazole pessaries hizo ni vaginal tablets,unaweka kwenye uke for 6 concecative nights wakati unapoenda kulala.Dawa kama nystatin au itraconazole pia yaweza faa.kama ni mwanaume tafuta clotrimazole cream,nystatin au itraconazole pia zitakusaidia,hali ikizidi njoo hospitali.
 
cha msingi hapo ni kwenda hospital ukafanyiwe uchunguzi, mimi jirani yangu alikua anasumbuliwa sana na hiyo kitu akawa anajinunulia
dawa akipewa ushauri mara dawa hii inatibu mara hii matokeo yake hakupona na ameshatumia midawa kibao
siku moja akaenda hospital kwa lengo la kutoa mimba dokta akamwambia kabla ya kutoa mimba inabidi kulitibu
hili ligonjwa la zinaa ulilonalo kumbe alikua na ugonjwa wa zinaa na umemtafuna mbaya. Kwahiyo bora uende hospital
ukafanyiwe uchunguzi vizuri.
 
mkuu utamaliza hizo dawa na hela pia utaishiwa na bado fangasi hawataisha, tafadhari jaribu ndimu kama nilivyokushauri hapo juu, mwenyewe utaniambia ni siku 2 tu kwishney, usipoteze hela na muda kwenda pharmacy

hii dawa nakumbuka tulikuwa tunaitumia kijijina lakini kwanza tunaichoma ndimu kidogo ipate moto
 
nenda hospital, pengine ni infections umezipata na bado unaendelea kuzipa kwenye vyoo vya kushea, hasa maofisini,hostel
 
kwa maandish inaonekana we ni mwanaume, kakangu nenda hospital wakucheck na uanze matibabu imediately ukikaa mda bila tiba unaweza ukajikuta huna hata mimba ya kusingiziwa, fanya hima nenda onana na wataalam.
 
hii dawa nakumbuka tulikuwa tunaitumia kijijina lakini kwanza tunaichoma ndimu kidogo ipate moto
Mkuu mi fangasi walinitesa sana hasa maeneo ya p*mbu. nimeshapakaga hizo cream nyingi, ilifika wakati nikawa nadhani labda ninapungukiwa kinga ya mwili. Mke wangu alikuwa akiniambia nitumie ndimu ya unga (nafikiri inatoka china) unakunywa na maji glasi 3X3 kwa siku, siku zote nilimkatalia, siku moja nilikuta mjadala kama huu hapa jf, member mmoja alikazia kuwa dawa nzuri ya fangasi ni apple cider vinegar, nikapanga kwenda kuinunua, lakini mi nilisomea mapishi kidogo na nimeshapika kidogo mahotelini, naijuwa kuwa apple cider vinegar ni ndimu iliyoandaliwa kiwandani ikaonezwa viungo vingine na rangi. Siku 1 nikawazaaa, nikanunua ndimu nikaoga, nikaikata katikati nakamulia kiduchu mkononi kisha nazipaka hizi kende kama mafuta hivi kila baada ya kuoga. Ni kama siku 2 au tatu hivi zilipotea mpaka leo.
 
Mkuu mi fangasi walinitesa sana hasa maeneo ya p*mbu. nimeshapakaga hizo cream nyingi, ilifika wakati nikawa nadhani labda ninapungukiwa kinga ya mwili. Mke wangu alikuwa akiniambia nitumie ndimu ya unga (nafikiri inatoka china) unakunywa na maji glasi 3X3 kwa siku, siku zote nilimkatalia, siku moja nilikuta mjadala kama huu hapa jf, member mmoja alikazia kuwa dawa nzuri ya fangasi ni apple cider vinegar, nikapanga kwenda kuinunua, lakini mi nilisomea mapishi kidogo na nimeshapika kidogo mahotelini, naijuwa kuwa apple cider vinegar ni ndimu iliyoandaliwa kiwandani ikaonezwa viungo vingine na rangi. Siku 1 nikawazaaa, nikanunua ndimu nikaoga, nikaikata katikati nakamulia kiduchu mkononi kisha nazipaka hizi kende kama mafuta hivi kila baada ya kuoga. Ni kama siku 2 au tatu hivi zilipotea mpaka leo.

Na mimi nakumbuka nil;ipokuwa na umri wa miaka 18 nilikuwa na tatizo kama hili kwenye makende na vidole vya miguuni nilikanyaga hospitali weee lakini wapi. ilibidi kumueleza baba tatizo linalonisumbua alikuja kunieleza nitumie ndimu na kabla sijaipaka niichome kidogo ipate moto.

dawa nyingine ninayokumbuka ni kifua kubana nakumbuka kaka akiwa na miaka 17 alikuwa na tatizo hilo kikibana baba kabla hajambeba na kumpeleka hospitali alikuwa akimkorogea magadi na kumpa anywe na utaona anapata nafuu kama huduma ya kwanza kabla haja mbeba kumpeleka hospitali kwani hospitali ilikuwa 15km toka nyumbani
 
Bro yaani hata AVETAR yangu umeshindwa kuing'amua??? Me ni mwanaume bana!!!!!!
kwahiyo wenye avatar ya nyani ni manyani?. nakushauri ujitahidi kuwa mkavu tumia taulo la pamba yamtumba ndio mazuri zaidi. ya dukani mengi yanafuta maji badala ya kunyonya halafu kuwa makini na kushare vifaa vya kuogea. isipofanya hayo utakuwa unapata recurrence mara kwa mara hata ukipata antifungal za kisasa kabisa.
 
Wakuu wife amesumbuliwa na fangasi mda mrefu na anmimba kwa hiki kipindi, naomba mnisaidie atumie dawa au tube gani ili imusaidie? Hata kama ni ya kienyeji mm ntajitahidi nimtafutie, anasumbuka sana mazee.
 
see the doctor mkuu.
fungus wanataka discipline sana yani kwenye utumiaji wa dawa.
 
km za kwenye mashine muwahi Hospital akapate Dose ya Cypro la sivyo mtampoteza mtoto, na ulikuwa unaingiaje bila kushtukia?
Du samahani kwani ni fungus za wapi? nilisahau kuuliza kabla ya kutiririka
 
Kama ni fungus za ukeni GYNOZOL ni nzuri na salama na haina madhara hata kwa kina mama wajawazito,ni ya kuingza na kupaka katika mashavu ya uke ila kwa ushauri mzuri zaid kawaone wataalamu wa afya il nyote wawil mpatiwe tiba..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom