Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

HABARI ZENU WAUNGWANA

JAMANI EH! NINA TATIZO NAOMBA SOMENI UZI WANGU MPAKA MWISHO NA MNISAIDIE NAOMBA MNISAIDIE TAFADHALI

NILIKUJA HAPA KUOMBA USHAURI MIEZI KADHAA NYUMA KWA TATIZO LANGU LA {FUNGUS} NILIPEWA USHAURI NA JIKAUFUATA VYEMA NA BAADHI YA VITU AMBAVYO NILIAMBIWA NITUMIE ILA BADO SIJAPONA NA TATIZO LIMEONGEZEKA,
NAOMBA NIELEZE VYEMA LEO NINAVYO SUMBULIWA ILI MWENYE KUNISAIDIA ANISAIDIE,

NI HIVI;
NINA FUNGUS AMBAO HAPO MWANZO WALIANZA KUTOA VIPELE VYENYE MAJI MAJI NA NIKAENDA KUCHOMA {POWERCEF} NIKAPONA, WAKARUDI TENA NIKATUMIA {AZUMA} NIKAPONA, WAKARUDI MARA YA TATU SASA HAPA VILITOKA VILENGELENGE NA SI CHUNUSI TENA, NIKAONA NIENDE HOSPITAL MAANA LIKAJA NA TATIZO JINGINE AMBAPO ILI NJIA YA MKOJO INACHOMA CHOMA NA MISHIPA YA UUME INAVUTA SI KAWAIDA, NILIVYO ENDA MWANANYAMALA NIKAFANYA VIPIMO VYOTE VYA ZINAA SIKU KUTWA NA TATIZO NIKAAMBIWA NIFANYE {CULTURE} PIA MAJIBU YAKAWA HAKUNA MDUDU ALIYEOTA NIKAPEWA TRANSIFER YA MUHIMBILI NAKO NIKAFANYA VIPIMO VIKUBWA NIKAAMBIWA HAKUNA TATIZO HIVYO NIKAPEWA DAWA ZA KUPAKA KWA AJILI YA {FUNGUS} NA YA LILE TATIZO LA KUVUTA NA KUCHOMA CHOMA KATIKA NJIA YA MKOJO NIKATUMIA SIKUPONA,

HHAPO SASA NDIO VIKAANZA KUTOKA VICHUNUSI NA VILENGELENGE KUNA DISPENSARY MOJA NIKAENDA KUCHOMA SINDANO YA {ALERGY} NA YA KUUWA VILE VIPELE HAIKU FANIKIWA NA HAPO NIKAANZA KUONA UCHAFU UNATOKA WA MFANO WA SHAHAWA NA NIKAANZA KUTOKA NA VIPELE MIKONONI AMBAVYO VINAWASHA SANA NA BAADAE HALI KURUDI KAMA KAWAIDA KATIKA SEHEMU ZA SIRI,

NANA SASA HIVI KORODANI ZINA WASHA, UUME WENYEWE UNA WASHA NA UNA VIPELE VIDOGO VIDOGO, MWILI MZIMA UNATOKA VIPELE KIMOJA KIMOJA VYENYE MAJIJI MAJI AMBAVYO UKIKUNA HUWASHA NA HUYOA MAJI MAJI NAWASHWAA JAMANI NAWASHWAA HASWAAAA NISAIDIE HILI TATIZO NIMEMALIZA HELA NYINGI NA NIMETUMIA DAWA NYINGI SANA ILA SIJAPONA

NAMBANAMBA ZANGU NI +255686978566 AU +255692224990
NAOMBENI MSAADA WENU
 
HABARI, samahani ndugu zangu nina shida ta kuwa na mba sugu kwenye ngozi yangu maeneo ya mikono na mabegani na mgongo huwa zinakuja na baadae kupotea then kurudi tena naombeni msaada wenu nifanyeje ili kuweza kuzitibu kabisa niwe na mimi na babysoft skin.
nimewahi kutumia itraconazole capsules, pamoja na tube nyingi sana za kupaka. sasa natafuta dawa ya mbadala na hizo, nisaidieni nateseka ni hii kitu,
Kuna wakati nilikua na mba mwilini jamaa mmoja akaniona akabidi anipe mafuta ya transifoma yalikua kidogo tu ata mills 100 ayafiki nilipata mara 2 mba ukaisha adi leo hii sijawahi pata kbsa

Sent from my YAL using JamiiForums mobile app
 
Shop: KIZUMANGO SHOP OPEN NOW

TOP SYRUP
ni dawa asilia inatibu magonjwa yote ya ngozi kwa haraka na kukuacha ukiwa unang'aaa.
Pata leo TOP SYRUP upate faida hizi

Inatibu chunusi na magonjwa mengine ya ngozi yasababishwa bacteria.
inaondoa madoa meusi mwilini na kuzunguka macho.
inaondoa sugu kwenye ngozi.
inatibu na kuondoa harufu mbaya mwilini.
inasafisha damu na kusafisha ngozi.
inaondoa makovu madogo madogo
inalainisha na kurudisha nuru ya ngozi.

TUMIA TOP SYRUP KUTIBU NGOZI YENYE MATATIZO SUGU.

#Gharama 15000tsh chupa 1
Kunywa kijiko cha chakula 1 x 2

INATIBU NDANI YA DAMU KUANZIA KWENYE CHANZO

Tupigie, WhatsApp au SMS 0684765575

#TOPSYRUP
#TOPSYRUP
Unasumbuliwa na magonjwa ya ngozi? Umeshahangaika kwa muda mrefu bila mafanikio imekuwa changamoto kubwa kwako?
#ngoziyangu
#afyayangozi
img_1647531197251_4.jpg
 
Jamani mimi nakaribia kuchanganyikiwa.Tatizo ni kuwashwa ngozi ya korodani. Yani ikichachamaa ukianza kuzibinyabinya hutoi mkono.Ngai!

Nimishawaona madaktari wa ngozi, nimepewa vidonge, za kupaka na hata sindano.Utapozuga kupoteaa kisha unarudi.Kuna muda ngozi ya pumbu inakuwa kama ya kenge kabisa, inatoa ungaunga.

Ugonjwa umenipa adabu, ninapasi boxer, nina taulo maalumu za kujifuta pumbu tu.Nina boxer za wiki nzima, ninavaa boxer moja kwa siku. Taulo na boxers zinaanikwa juani. Kunyoa kila wakati kama mdada, nikiacha tuvuzi tu nitakoma.

Jamani nifanyeje? Nadata kabisa
Vipi ushapata tiba mkuu?
 
Shop: KIZUMANGO SHOP OPEN NOW

TOP SYRUP
ni dawa asilia inatibu magonjwa yote ya ngozi kwa haraka na kukuacha ukiwa unang'aaa.
Pata leo TOP SYRUP upate faida hizi

Inatibu chunusi na magonjwa mengine ya ngozi yasababishwa bacteria.
inaondoa madoa meusi mwilini na kuzunguka macho.
inaondoa sugu kwenye ngozi.
inatibu na kuondoa harufu mbaya mwilini.
inasafisha damu na kusafisha ngozi.
inaondoa makovu madogo madogo
inalainisha na kurudisha nuru ya ngozi.

TUMIA TOP SYRUP KUTIBU NGOZI YENYE MATATIZO SUGU.

#Gharama 15000tsh chupa 1
Kunywa kijiko cha chakula 1 x 2

INATIBU NDANI YA DAMU KUANZIA KWENYE CHANZO

Tupigie, WhatsApp au SMS 0684765575

#TOPSYRUP
#TOPSYRUP
Unasumbuliwa na magonjwa ya ngozi? Umeshahangaika kwa muda mrefu bila mafanikio imekuwa changamoto kubwa kwako?
#ngoziyangu
#afyayangoziView attachment 2175965
Mnapatikana wapi
 
Habarini waungwana kwa majina ni twalib naishi Kinondoni,

Nina sumbuliwa na fangasi sugu ambayo imesha ingia kwenye damu tayari inanisumbua sana kwani sehemu ya siri inawasha sana na inatoa vipele vidogo sana ambapo baadaye kuna tengeneza kama ukungu na ambavyo havionekani vizuri.

Nikikutana na mwanamke kichwa kinatoa magamba na ukiangalia kama kuna kuwa na vidonda kwa ndani nimetumia dawa nyingi mpaka Muhimbili nimeenda ila bado.

Please mwenye kujuwa dawa anisaidie no zangu +255692224990
Kaka ulipona
 
habari zenu ,naombeni msaada nimekuwa natatizo la fungus sehem za siri kwa mda nilipima vdrl nikawasina kitu ndio nikaambiwa kwamba ni fungus ila mpaka kujua hilo nilikuwa nimeanza kutoka vipele sehem za siri haswa kwenye mkanda karibu na kichwa vinatoa maji na kuwashwa alaf baadae vinakuwa kama vidonda nimepewa dawa nying sana za kupaka ila hazisaidi nikachuma na sindano 5 za powersef ila bado naombeni msaada kwa sasa hadi nikikojoa karibu na kichwa nasikia maumivu makali naombeni msaada wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom