Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Habarini wanabdugu , naombeni msaada wa tatizo nilililonalo la kuwashwa SEHEMU ya KORODANI na uume kuwasha kwa ndani na nje , ninetumia cream za kupaka na dawa lakini bado nasumbuliwa shida ni hivyo vijinundu vinavyoota na kuwasha Sana , naombeni msaada
BeautyPlus_20210823121731022_save.jpg
 
Habarini wanabdugu , naombeni msaada wa tatizo nilililonalo la kuwashwa SEHEMU ya KORODANI na uume kuwasha kwa ndani na nje , ninetumia cream za kupaka na dawa lakini bado nasumbuliwa shida ni hivyo vijinundu vinavyoota na kuwasha Sana , naombeni msaadaView attachment 1904552
Oshea Maji ya Chumvi, Loweka kwenye Maji kisha tumia hayo maji kuosha hiyo sehemu
 
Nimeshangaa sana kijana mdogo kuteseka na magonjwa ya wazee wa miaka 90.Any way hamna kitu kinafedhehesha kama muwasho vyumbuni hasa kwenye umati.Hivi nafikiri thread utakuwa umeandika na vidole vya mkono mmoja huku vidole vya mkono mwengine vikikusaidia kujipatia nafuu ya kupunguza muwasho.
 
Fangasi hiyo mkuu, Luna vidonge vinaitwa Terbinafine na Cream yaku, ni Untifungal mzuri sana
 
Nimeona hizo sehemu nyege hizi hapa loh!

Mkuu,nenda hospital...korodani kuwasha nje na ndani sidhani kama litakuwa tatizo la kutibiwa na creams tu
Ni tatizo linaanzia ndani ya mwili
Madaktari wa JF ujuaji Kila mahali
 
Nimeona hizo sehemu nyege hizi hapa loh!

Mkuu,nenda hospital...korodani kuwasha nje na ndani sidhani kama litakuwa tatizo la kutibiwa na creams tu
Ni tatizo linaanzia ndani ya mwili

Aisee umeona mbupu tu genye zimepanda je ukiona mkuyenge kabisa si chupi inaloa
 
Habarini wanabdugu , naombeni msaada wa tatizo nilililonalo la kuwashwa SEHEMU ya KORODANI na uume kuwasha kwa ndani na nje , ninetumia cream za kupaka na dawa lakini bado nasumbuliwa shida ni hivyo vijinundu vinavyoota na kuwasha Sana , naombeni msaadaView attachment 1904552
Taarifa ulizoweka hapo pekee haztoshi kuonesha njia ya namna ya kukusaidia, ziko brief sana.

Inabidi umweleze mtaalamu ulianza vipi kuumwa mpaka hapo ulpofkia, nayeye atakuuliza maswali kadhaa ndipo atapata pakuanzia.

Sio rahisi kama unavofkria & ukitaka shortcut unaezajikuta unajibebesha mzigo mkubwa zaid.

Lakin kwa kuanzia, hizo cream haziwezkukusaidia kwa hapo hali ilpofikia.
NENDA HOSPITALI, USIENDE KWENYE DUKA LA DAWA.
 
Habarini wanabdugu , naombeni msaada wa tatizo nilililonalo la kuwashwa SEHEMU ya KORODANI na uume kuwasha kwa ndani na nje , ninetumia cream za kupaka na dawa lakini bado nasumbuliwa shida ni hivyo vijinundu vinavyoota na kuwasha Sana , naombeni msaadaView attachment 1904552
Nenda kafanye cheki up ya magonjwa ya zinaa!
Vinatoa majimaji?
Kama na baadaye kuweka tabaka gumu tumia hii dawa pekee! Majibu utayapata ndani ya masaa! Ila usiache kujimwagia hiyo powder wiki mbili baada ya kuhisi umepona!
Nenda famasi nunua mycota powder, paka x 2 kwa siku! Kumbuka maelekezo hapo juu! usipake cream wala gel yoyote, na zingatia usafi, ukivua chupi usirudie mpaka iwe imefuliwa na kunyooshwa pasi, utanishukuru siku nyingine!
 
Jaman Samahan Kwa kuingilia uzi na mimi nawashwaw sana nimetumia dawa na cream lakin sijapona
Nilienda hospital nimepima wakaniambia ni fungus mbona haziponi madoctor
 
Mkuu hio si rahisi kutoka kwa kutumia cream, hapo tafuta wembe mpya ufanye kama unapitisha hio sehemu ya kipele juu, kuna kama vijiwe ndio vinasababisha hio hali ukipasua kwa wembe kamua kwa nguvu hupati maumivu kitatoka kijiwe cheupe, nimefuatilia uperation nyingi za hizo kesi YouTube hata mm nilikua navyo vingi ilikilua kila siku napasua kimoja mpaka vikaisha

Sababu inawezekana ni kula mayai coz kwa wengine yanapelekea kufanyika hivyo
Kuzivuta nywele na kuzitoa katika sehem ya korodani
Pia fangas wanaweza kusababisha hivyo

India mara nyingi ndio wanafanya operations za kuondoa vijiwe hivyo but hata na ww hme ukikaa kwa kutulia unaweza kujifanyia bila ya athari yoyote
Coz ni kuchanja hizo sehem na kukamua kwa nguvu sana vitatoka vijiwe vyeupe cream haiwezi kuyayusha kijiwe hicho

Ukienda spitali hapo bongo utapewa cream za fangas but hazitoondoa hilo tatizo nilimuona doctor wa india anaefanyia kuondoa watu hivyo vipele anasema the best way ni kuviondoa kwa hio njia
Screenshot_2021-08-23-11-34-46-080.jpg
Screenshot_2021-08-23-11-39-09-612.jpg
Screenshot_2021-08-23-11-39-27-984.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom