Nunua ndim kumi jipake Maji yake asbh na jioni ndani ya sku tano rudi hapa utoe mrejeshoHabari zenu wana jamii Forum
Awali ya yote napenda kuwapa pole kutoka na janga hili kubwa la Korona.
Sasa niende moja kwa moja kwenye Mada. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu...
Chumvi na limao changanya na maji ya moto kisha safisha maeneo husika halafu kausha paka MAFUTA ya NAZI asubuhi na jioniWadau habari za leo,nina kabiliwa na changamoto ya muda mrefu ya fangasi sehemu za siri hasa kwenye corodani,nimetumia dawa za kumeza na kupaka lakini tatizo halijakoma,je,kuna dawa nyingine ambayo naweza kutumia ili nipone maana zinawasha na kuleta harufu sio nzuri... Nawasilisha
Mkuu vp 2006 bado ulikuwepo Pugu??Nipo hapa mkuu, huo ugonjwa umenitendea haki, haukunibagua hata kidogo enzi za Upond boy
Nilikuwa PUGU miaka ya 201.. mkuu
Dah hongera mkuu japo kumbe hauqualify kwenye group letu la wahengaNilikuwa PUGU miaka ya 201.. mkuu