Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Mkuu Mimi nauliza tiba ya fangasi,
Zipo katikati ya pumbu na mapaja nadhani kutokana na hili joto na zinasababisha maumivu makali.dawa yake ni IPI?
 
Cha msingi nenda hospitali uonane na dokta. Pia hakikisha unavaa nguo safi na kavu ukibadilisha chupi kila siku pia uhakikishe kabla ya kuvaa nguo umekausha sehemu hizo nyeti. Zingatia kupasafisha vizuri, ondoa mapovu ya sabuni na kausha vizuri pia.
HIZI NYETI NAPIGA NA PASi KABISA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom