ZENITH
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 1,062
- 987
Wajuzi wa mambo,nina tv aina ya lg tv flat screen,24 inches.Tatizo ni kwamba haina sehemu ya audio output.Nitumie ujanja gani kutoa sauti kutoka kwenye tv yangu kwenda kwa subwoofer.Je,kuna kifaa cha ziada naweza kupachika kitakachoweza kunisaidia kusolve hili tatizo?