Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

Hivi taratibu za kupima kiwango cha homoni ikoje naomba muongozo mkuu.

Nenda hospitali wambie unahitaji kumuona daktari bingwa anahusika na upimaji wa homoni!

Hata hivyo daktari atakuuliza sababu za kutaka kujua ni zipi au umeamua kupima tu uweze kujua hali yako?!

Mara nyingi kina mama na baba ambao wako ktk harakati za kutaka kushika ujauzito ndiyo huwa wanakutana na kutakiwa kufanya hivyo vipimo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukienda mbali zaidi utakuja kugundua kuwa hata kwa wale ambao wamekuwa wakifanya mazoezi na diet kwa muda mrefu kutaka kupungua lakini inashindikana mara nyingi sababu mojawapo yaweza kuwa ni hormonal imbalances.

Kitu ambacho wala jamii haiko aware hata kwa hao wenye kutoa mafundisho ya weight loss hao wataalam they are not even aware of such important issues.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wa kuu,

Nimepima kipimo cha homoni. Imejulikana nina tatizo la ongezeko la homoni ya Prolactin, ipo 150ng/dl. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatzo, aina ya diet inayofaa na dawa nzuri kutibu.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la msingi si kushusha tu vichocheo husika bali kutanabaisha chanzo husika pia. Unaweza kutumia dawa zikaweza kushusha hivyo vichocheo lakini baadaye tatizo likarudi palepale, kwa sababu haujatatua chanzo.

Ni vyema kufika hospitali yenye madaktari bingwa ambayo yaweza kuwa ni wa vichocheo au wale wa magonjwa ya akinamama. Apate historia yako kwa ujumla akutizame kama kuna viashiria vyovyote ambatanishi kwa vichocheo vingine au kivimbe kinachotoa vichocheo husika. Pia kufanya vipimo zaidi itakapobidi ili tiba yako iwe ni jumuishi. Hapo utaweza kutatua tatizo.
 
Metabolism ya mwili inafanywa mbali na maswala mengine ni pamoja na Vichocheo vya mwili yaani homoni.

Sasa zikiwa juu au chini ya kawaida huweza kumfanya mtu kunenepeana au kinyume chake though mara nyingi ni kunenepeana kutokana na mifumo ya maisha isiyo shauriwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa sijakuelewa

Nisome tena vizuri my dear Cute shy!

Nasema iwapo mtu utafanya vipimo vya homoni ikiwepo hiyo ya maziwa kutoka kwa mwanamke wakati hanyonyeshi na anatafuta ujauzito, basi itakapokutwa hiyo homoni iko juu kuliko kawaida utaandikiwa dawa ukanunue ili kuishisha iweze kurudi kawaida ambapo mwili utatambua kuwa sasa haunyonyeshi na kwa hiyo unaweza kutungisha mimba.

Dawa hizo mara nyingi hunywewa vidonge 2 kwa wiki, unakunywa kimoja mfano kila siku ya Jumatatu ya wiki na Alhamisi ya kila wiki katika mwezi,

Ndiyo maana nikasema utumiaji wake (administration) ni rahisi sababu unakinywa kimoja tu kila baada ya siku mbili tatu ili mradi ndani ya wiki moja uwe umekunywa vidonge 2 tu lakini kwa kupishana siku tatu.

Daktari bila shaka atakushauri baada ya muda fulani baada ya kumaliza dozi ukapime tena kuangalia maendeleo ,

Iwapo baada ya kumaliza dozi ukenda kupima ukakutwa imetengemaa na kurudi kawaida ndipo sasa nikasema inashauriwa uendelee na dozi kwa muda mrefu walau miezi 6 hata kama ipo kawaida ili uweze kupata matokeo chanya ya kile unachokitafuta na hapo utaweza kuwa umepata uponyaji kabisa.

Na iwapo utakuwa umetumia mfululizo wa hivyo halafu baadae ikapanda hapo wataweza kujua pengine kutahijika uchunguzi wa kitu kingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hospitali wambie unahitaji kumuona daktari bingwa anahusika na upimaji wa homoni!

Hata hivyo daktari atakuuliza sababu za kutaka kujua ni zipi au umeamua kupima tu uweze kujua hali yako?!

Mara nyingi kina mama na baba ambao wako ktk harakati za kutaka kushika ujauzito ndiyo huwa wanakutana na kutakiwa kufanya hivyo vipimo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu kwa muongozo wako,binafsi nataka nikatizame homoni ya testosterone maana naona kama nina dalili za tatizo kwenye hiyo homoni.
 
Habari wa kuu,

Nimepima kipimo cha homoni. Imejulikana nina tatizo la ongezeko la homoni ya Prolactin, ipo 150ng/dl. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatzo, aina ya diet inayofaa na dawa nzuri kutibu.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana.

Hivi vitu havitibiwi kwa diet. Hapo unahitaji kufanya MRI ya ubongo kuangalia pituitary gland kama ina uvimbe uzalishao prolactin bila control (prolactinoma) au la

In the mean time nadhani utakuwa umepewa dawa kama Bromocriptine kupunguza galactorrhea (maziwa kutoka yenyewe)

Sent using .... who cares anyway
 
Naomba niulize gharama ya MRI na wapi?
Hapana.

Hivi vitu havitibiwi kwa diet. Hapo unahitaji kufanya MRI ya ubongo kuangalia pituitary gland kama ina uvimbe uzalishao prolactin bila control (prolactinoma) au la

In the mean time nadhani utakuwa umepewa dawa kama Bromocriptine kupunguza galactorrhea (maziwa kutoka yenyewe)

Sent using .... who cares anyway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisome tena vizuri my dear Cute shy!

Nasema iwapo mtu utafanya vipimo vya homoni ikiwepo hiyo ya maziwa kutoka kwa mwanamke wakati hanyonyeshi na anatafuta ujauzito, basi itakapokutwa hiyo homoni iko juu kuliko kawaida utaandikiwa dawa ukanunue ili kuishisha iweze kurudi kawaida ambapo mwili utatambua kuwa sasa haunyonyeshi na kwa hiyo unaweza kutungisha mimba.

Dawa hizo mara nyingi hunywewa vidonge 2 kwa wiki, unakunywa kimoja mfano kila siku ya Jumatatu ya wiki na Alhamisi ya kila wiki katika mwezi,

Ndiyo maana nikasema utumiaji wake (administration) ni rahisi sababu unakinywa kimoja tu kila baada ya siku mbili tatu ili mradi ndani ya wiki moja uwe umekunywa vidonge 2 tu lakini kwa kupishana siku tatu.

Daktari bila shaka atakushauri baada ya muda fulani baada ya kumaliza dozi ukapime tena kuangalia maendeleo ,

Iwapo baada ya kumaliza dozi ukenda kupima ukakutwa imetengemaa na kurudi kawaida ndipo sasa nikasema inashauriwa uendelee na dozi kwa muda mrefu walau miezi 6 hata kama ipo kawaida ili uweze kupata matokeo chanya ya kile unachokitafuta na hapo utaweza kuwa umepata uponyaji kabisa.

Na iwapo utakuwa umetumia mfululizo wa hivyo halafu baadae ikapanda hapo wataweza kujua pengine kutahijika uchunguzi wa kitu kingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa, nilienda hospital kupima na nikaandikiwa kumeza kimoja kila siku na matiti yalikuwa yanatoa maji maji kwa sasa hali hiyo inapungua
 
Bidada kaongee na gyno wako vizuri
Mm nilikuwa nameza robo kidonge mwanzo kisha nikafata nusu kidonge napishanisha siku 2-3
Sijawah meza kizima mana balaa lake ai dogo
1103252867.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom