Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

Prolactin zinakuwa nyingi kipindi cha kujifungua ili mtoto apate chakula chake

Zikiwa nyingi kwenye kipindi cha kawaida ni hatari kwani zinaweza kusababisha utasa,kansa n.k

Dawa ya kutumia ni DA(Dopamine Agonist) kama bromocriptine hivi..hii itaongeza dopamine,..Dopamine ikiwa juu Prolactin inakuwa chini..And vice versa
Nilitumia bromo
 
Bromo kama bromo hakikisha unaandikiwa na gyno na matumizi kabisa ,, mana inalevya mnoo
 
Back
Top Bottom