Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

Prolactin ni nini?

Kama ni swala zito la kitabibu kiasi hicho, kiasi kwamba umetuandikia misamiati migumu ili tujue unaugua magonjwa "special" ya kizungu, why don't you go to the hospital and get help?

Wewe umetoka hospital, wakakwambia una hiyo sijui prolactin, halafu unarudi tena kwa watu ngumbaru unatuuliza nifanyeje nina prolactin!

Hukumuuliza huyo daktari kuhusu matibabu ya prolactin?

Hilo neno la prolactin ulilitoa wapi? ulijikuta tu unalijua na ukijikuta tu ghafla unaugua prolactin bila kupimwa na daktari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni jukwaa la JF Doctor..so watakao changia ni either wanaexprience na tatizo au wataalamu wa afya

Nadhani hukuangalia vizuri ni jukwaa gani huu uzi ulipo postiwa
 
Asante sana. Na ndiyo natafuta mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuko pamoja!

Hiyo inatakiwa kutumika kwa mfukulizo wa miezi sita hata kama itakuwa normal.

Usikatishe dozi ili upate matokeo chanya !

Kwanza administration huwa ni rahisi maana unaweza kunywa vidonge 2 tu kwa wiki kwa kupishana.

Halafu na thyroids function ni vizuri kucheck maana vina uhusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni jukwaa la JF Doctor..so watakao changia ni either wanaexprience na tatizo au wataalamu wa afya

Nadhani hukuangalia vizuri ni jukwaa gani huu uzi ulipo postiwa
Hivi karibuni kumeibuka wimbi kubwa la "google intellectuals" au "google scientists".

Kamjamaa kana google huko, kanajipima magonjwa humo humo google, kakiona symptoms zinahusiana na shida zake, kanaibuka kanasema ninaumwa "Prolactin".

Nilikuwa nataka nibaini hilo! Aliijuaje hiyo prolactin bila kwenda kwa daktari? I believe he is not an omnipotent God!

Kama alienda hospital (which i doubt) ni wazi kwamba madaktari wangempa ushauri na machaguo ya tiba!

Ametumia neno ambalo sio jepesi kwa layman kujua bila kuelezwa na tabibu!

Which otherwise, ingekuwa tofauti kama mtu angeuliza, "jamani ninaumwa kichwa nifanyeje". That's okay for a layman!

Huyu na prolactin yake sijui kaikota wapi!

Anyways, niwaachie madaktari washughulike nae!

Mimi ngumbaru tu hayo majitu ya prolactin nitayajulia wapi bhana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prolactin ni nini?

Kama ni swala zito la kitabibu kiasi hicho, kiasi kwamba umetuandikia misamiati migumu ili tujue unaugua magonjwa "special" ya kizungu, why don't you go to the hospital and get help?

Wewe umetoka hospital, wakakwambia una hiyo sijui prolactin, halafu unarudi tena kwa watu ngumbaru unatuuliza nifanyeje nina prolactin!

Hukumuuliza huyo daktari kuhusu matibabu ya prolactin?

Kama hukwenda hospital, hilo neno la prolactin ulilitoa wapi? ulijikuta tu unalijua na ukijikuta tu ghafla unaugua prolactin bila kupimwa na daktari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajifanyaga mjuaji sana lakini hutoagi msaada kwa unalojua. Mjuaji ni yule anayetoa info zinazotakiwa na kama akikosa atoe ushauri mzuri tu au akae kimya. Wewe umekuja hapa kumpangia mwenzio cha kuuliza.
 
Hivi karibuni kumeibuka wimbi kubwa la "google intellectuals" au "google scientists".

Kamjamaa kana google huko, kanajipima magonjwa humo humo google, kakiona symptoms zinahusiana na shida zake, kanaibuka kanasema ninaumwa "Prolactin".

Nilikuwa nataka nibaini hilo! Aliijuaje hiyo prolactin bila kwenda kwa daktari? I believe he is not an omnipotent God!

Kama alienda hospital (which i doubt) ni wazi kwamba madaktari wangempa ushauri na machaguo ya tiba!

Ametumia neno ambalo sio jepesi kwa layman kujua bila kuelezwa na tabibu!

Which otherwise, ingekuwa tofauti kama mtu angeuliza, "jamani ninaumwa kichwa nifanyeje". That's okay for a layman!

Huyu na prolactin yake sijui kaikota wapi!

Anyways, niwaachie madaktari washughulike nae!

Mimi ngumbaru tu hayo majitu ya prolactin nitayajulia wapi bhana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kwenye uzi wake ameeleza vizuri kua amepima na amekutwa na ongezeko la hiyo hormone. Na akaomba ushauri pia kama kuna diet.
Unachofanya sio vizuri.
 
Ngumbaru or layman, whatever you call yourself. This post isn't for you, kwanza hujui hata prolactin ni nini why ucomment? And i don't have to explain myself to you kama nimeenda hospital or not. You clearly don't even know JF Doctor wameiongeza kwenye hii forum kwasababu gani. So weird jinsi ulivyo judgemental, ety amegoogle amejua symptoms and you doubt that nimeenda hospital, well i don't have to make sense to you. I'm just begging you to just stay quiet cause your opinions don't really matter in this thread. Mbona wengine wameshauri vizuri tu and life goes on, wamepungukiwa nini. You have too much negativity, keep that energy to yourself.

Sasa mbona viingereza vingi!

Umepimwa hiyo prolactin, lazima daktari akupe machaguo ya tiba na namna ya kudhibiti hiyo hali.

Kwahiyo kuna dawa, ushauri wa kudhibiti hali, na ushauri nasaha!

Huyo daktari alipokupima akakueleza una hayo ma prolactin halafu akakwambia rudi nyumbani ukaponywe na yesu?

Come on...

I am not cross examining you. I was simply demonstrating how phony this story might be.

Relax... pata mlo uendelee na tiba dada!

Mimi ni mjuaji tu mmoja kwenye mitandao ya kijamii!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umejijua nashukuru kwa hilo. Piece of advice kama unaona someone's story is phony why shouldn't you ignore it. Is it necessary uingize negativity zako kwenye story usiyoielewa. Umepata faida gani? . As for me kwenye story yangu ambayo wewe huielewi nimepata ushauri kwa watu wanaojielewa ambao sio mangumbaru kama wewe. Sasa neno prolactin tu hujui afu unajikuta mjuaji [emoji1787]. Kula lunch ulale waache wanaojua wajimwambafai. Stick your nose where it is needed.
Sasa mbona viingereza vingi!

Umepimwa hiyo prolactin, lazima daktari akupe machaguo ya tiba na namna ya kudhibiti hiyo hali.

Kwahiyo kuna dawa, ushauri wa kudhibiti hali, na ushauri nasaha!

Huyo daktari alipokupima akakueleza una hayo ma prolactin halafu akakwambia rudi nyumbani ukaponywe na yesu?

Come on...

I am not cross examining you. I was simply demonstrating how phony this story might be.

Relax... pata mlo uendelee na tiba dada!

Mimi ni mjuaji tu mmoja kwenye mitandao ya kijamii!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kakwambia karudi nyumbani asubiri aponywe na Yesu. Kuna ile kitu mtu anataka tu reviews za watu labda. Unasound kama una stress we kaka. Basi kama ndo hivyo sisi tunaoombaga ushauri jf doctor wote unatushushua. Vitu vingine uache vikupitagee jamani gorilla [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We nawe wacha kuongea hovyo kama unaharisha damu kwa mbele
Dr. Wengi hawana elimu ya tiba lishe
Wengi wamekaririshwa tu dawa basi
Mm mwenyewe niliteseka na maradhi mengi nikazunguka hosp kwa miaka 3 bila soln ,nikaja kupost uzi na nikapata tiba sahihi Jamii forum
So kama huwezi msaidia mtu nyamaaza kengee wewe pita kimya kimya
Sasa mbona viingereza vingi!

Umepimwa hiyo prolactin, lazima daktari akupe machaguo ya tiba na namna ya kudhibiti hiyo hali.

Kwahiyo kuna dawa, ushauri wa kudhibiti hali, na ushauri nasaha!

Huyo daktari alipokupima akakueleza una hayo ma prolactin halafu akakwambia rudi nyumbani ukaponywe na yesu?

Come on...

I am not cross examining you. I was simply demonstrating how phony this story might be.

Relax... pata mlo uendelee na tiba dada!

Mimi ni mjuaji tu mmoja kwenye mitandao ya kijamii!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumuharibia mwenzie uzi tu kanikera mijianaume mingine kama mashoga
Kwani kakwambia karudi nyumbani asubiri aponywe na Yesu. Kuna ile kitu mtu anataka tu reviews za watu labda. Unasound kama una stress we kaka. Basi kama ndo hivyo sisi tunaoombaga ushauri jf doctor wote unatushushua. Vitu vingine uache vikupitagee jamani gorilla [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko pamoja!

Hiyo inatakiwa kutumika kwa mfukulizo wa miezi sita hata kama itakuwa normal.

Usikatishe dozi ili upate matokeo chanya !

Kwanza administration huwa ni rahisi maana unaweza kunywa vidonge 2 tu kwa wiki kwa kupishana.

Halafu na thyroids function ni vizuri kucheck maana vina uhusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sijakuelewa
 
Sasa mbona viingereza vingi!

Umepimwa hiyo prolactin, lazima daktari akupe machaguo ya tiba na namna ya kudhibiti hiyo hali.

Kwahiyo kuna dawa, ushauri wa kudhibiti hali, na ushauri nasaha!

Huyo daktari alipokupima akakueleza una hayo ma prolactin halafu akakwambia rudi nyumbani ukaponywe na yesu?

Come on...

I am not cross examining you. I was simply demonstrating how phony this story might be.

Relax... pata mlo uendelee na tiba dada!

Mimi ni mjuaji tu mmoja kwenye mitandao ya kijamii!

Sent using Jamii Forums mobile app
WEE JAMAA UNAJIDHALISHA SANA BORA UGEKAA KIMYA TU UKAFICHA UJING** WAKO

SIO KILA KITU UCHANGIE HII NI JF DOCTOR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prolactin zinakuwa nyingi kipindi cha kujifungua ili mtoto apate chakula chake

Zikiwa nyingi kwenye kipindi cha kawaida ni hatari kwani zinaweza kusababisha utasa,kansa n.k

Dawa ya kutumia ni DA(Dopamine Agonist) kama bromocriptine hivi..hii itaongeza dopamine,..Dopamine ikiwa juu Prolactin inakuwa chini..And vice versa

Hii si itakuwa inamfanya mtu ajisikie high kama kameza madawa ya kulevya?
Maana Dopamine hormone ndiyo hormone ya starehe
 
Hapana haitafanya kazi hivyo..

Dopamine inatolewa mfano wakati unakula au ukimwona mtoto mzuri na kuvutiwa nae at spot au wakati wa sex ili kusafirisha taarifa itakayokufanya ujisikie furaha..lazima kuwa na kitendo cha kusababisha hiyo dopamine itoke ndo upate furaha..ni tofauti na madawa ya kulevya
 
Habari wa kuu,

Nimepima kipimo cha homoni. Imejulikana nina tatizo la ongezeko la homoni ya Prolactin, ipo 150ng/dl. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatzo, aina ya diet inayofaa na dawa nzuri kutibu.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi taratibu za kupima kiwango cha homoni ikoje naomba muongozo mkuu.
 
Back
Top Bottom