Ndivyo nilivyoandikiwa tena aliniambia itafaa zaidi nikimeza kutwa mara mbili akasema vinasumbua meza kimoja, mwanzoni vilinichefua kwa sasa niko poa tu nikimeza

Nilienda moroco kwa dr. Mgaya yeye mzee hakuwepo nilimkuta mwanaye ambaye ni doctor pia wa wanawake
Siku ya 26 niliuziwa kidonge kimoja elfu moja mia tano, phamace moja hivi mikocheni
Vyangu ni vya india, na hiyo cover yake ni tofauti na hii yangu ni laini zaidi, ningeweza ningepiga picha
Hivyo vizuri vinauzwa wapi na sh ngapi?
Mpaka nikamueMkuu naomba kuuliza ayo maji maji ni hadi uyakamue maziwa ndio yanatoka au yanatoka yenyewe tu bika kukamuliwa nataka nujue kama nna hili tatizo ili niwahi hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatolewa damu mkononi tu na huenda sambamba na mtu anaetoka maziwa wakati hanyonyeshiHivi taratibu za kupima kiwango cha homoni ikoje naomba muongozo mkuu.
Nakushauri uendelee kuzingatia maelekezo ya daktari wako tusichanganye mambo.Hivyo vizuri vinauzwa wapi na sh ngapi?
Asante sana BROMOSPTINE nalea mimba sasa maana nikishajikatia tamaa na hiz homon sina hamu kabisaHabari wa kuu,
Nimepima kipimo cha homoni. Imejulikana nina tatizo la ongezeko la homoni ya Prolactin, ipo 150ng/dl. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatzo, aina ya diet inayofaa na dawa nzuri kutibu.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inakuwaje mwanamke anatoka maziwa Akita unga na hanyonyeshi wala hana ujauzito ni hizo homoni zinakuwa zimezidi auNisome tena vizuri my dear Cute shy!
Nasema iwapo mtu utafanya vipimo vya homoni ikiwepo hiyo ya maziwa kutoka kwa mwanamke wakati hanyonyeshi na anatafuta ujauzito, basi itakapokutwa hiyo homoni iko juu kuliko kawaida utaandikiwa dawa ukanunue ili kuishisha iweze kurudi kawaida ambapo mwili utatambua kuwa sasa haunyonyeshi na kwa hiyo unaweza kutungisha mimba.
Dawa hizo mara nyingi hunywewa vidonge 2 kwa wiki, unakunywa kimoja mfano kila siku ya Jumatatu ya wiki na Alhamisi ya kila wiki katika mwezi,
Ndiyo maana nikasema utumiaji wake (administration) ni rahisi sababu unakinywa kimoja tu kila baada ya siku mbili tatu ili mradi ndani ya wiki moja uwe umekunywa vidonge 2 tu lakini kwa kupishana siku tatu.
Daktari bila shaka atakushauri baada ya muda fulani baada ya kumaliza dozi ukapime tena kuangalia maendeleo ,
Iwapo baada ya kumaliza dozi ukenda kupima ukakutwa imetengemaa na kurudi kawaida ndipo sasa nikasema inashauriwa uendelee na dozi kwa muda mrefu walau miezi 6 hata kama ipo kawaida ili uweze kupata matokeo chanya ya kile unachokitafuta na hapo utaweza kuwa umepata uponyaji kabisa.
Na iwapo utakuwa umetumia mfululizo wa hivyo halafu baadae ikapanda hapo wataweza kujua pengine kutahijika uchunguzi wa kitu kingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana BROMOSPTINE nalea mimba sasa maana nikishajikatia tamaa na hiz homon sina hamu kabisa
Hivi inakuwaje mwanamke anatoka maziwa Akita unga na hanyonyeshi wala hana ujauzito ni hizo homoni zinakuwa zimezidi au
mimi ningependa kuanza kwa kuullizaa . Ulipata dalili zipi au ulihisi vp mwilini mpka ukaamua kwenda hospitali kupima??Habari wa kuu,
Nimepima kipimo cha homoni. Imejulikana nina tatizo la ongezeko la homoni ya Prolactin, ipo 150ng/dl. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatzo, aina ya diet inayofaa na dawa nzuri kutibu.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia bromoceptine nilikua na shida hio but nikatumia dozi hio mara 2 nikapata ujauzito now namtoto wa mwaka na mieziHabari wa kuu,