Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

Pole sana ndugu, JARIBU KWENDA KUPIMA LIVER TEST FUNCTION, inaweezekana hepatits A, B, C. n.k, pamoja na figo
Duuh, Ahsante kwa ushauri mkuu.
Kwa hiyo kuna uwezekani hii hali ninayoipata na hivyo vitu ulivyotaja hapo juu?

Alafu kuhusu gharama zake, maana nahisi itakua ni ghali kufanya vipimo vya namna hiyo.
 
Ninayo hiyo hali huu mwaka wa 20 sasa, imebidi nizoee tu
 
Sawa mkuu nitajaribu hiyo ya kutojikausha mwili
 
Duu, nilijua hapa duniani ni mimi tu ninaeteseka na hii issue , 😂😂😂👍🏼, maana nikioga huwa natenga kabisa nusu saa ya kujikuna, hatari sana 🤣🤣🤣🤣

Solution ya hili tatizo nilikuja kulipata, lakini solution yake ni ngumu kuifanya kila wakati unapotoka kuoga. Dawa ni hii, kabla ya kuoga kimbia kama dakika 30 hivi ili mwili utoke jasho kisawasawa na joto la mwili lipande vizuri, basi nikifanya hivyo, nikienda kuoga siwashwi kabisa.....
 
Mkuu yaani nimebadili sabuni mpaka nimechoka, lakini hali iko hivyo hivyo
Mkuu hizi sabuni watu wengi tunazoogea zinawasha mwili, kila mmoja anajua inapoingia machoni. Kuna body wash fluids ambazo hazina sabuni (soap free body wash fluids) ambazo unaweza kuogea...pia kama ngozi yako inakauka sana baada ya kuoga maji ya moto kwa muda mrefu, punguza muda wa kuoga maji ya moto au yasiwe ya moto sana, mfano zisizidi dk 5.....oga kwa muda mfupi sepa badala ya kunogewa na kuoga karibu robo saa hadi nusu saa hali itakayopelekea ngozi kupoteza maji mengi (moisture) na kuwa kavu. Kama ngozi inakuwa kavu unaweza kutumia pia lotion ambazo zinaongeza unyevunyevu wa ngozi (moisturizing lotion/cream).
 
Sawa mkuu nitajaribu hiyo ya kutojikausha mwili
Fanyia kazi utakuja kuniambia, haya maudhi yalishawahi kunikuta nafahamu kero zake vizuri sana.

Nilishaenda hadi Hospitali wakafanya ukaguzi wao wote na wametoka kapa, na damu walipima, hawakuona tatizo lolote
 
Naoga ya baridi, ila hata hayo moto hali mbona inakuwepo tu hivyo hivyo
Mi ilikuwa zaidi nikioga maji ya moto ndo nawashwa, sijui iliishaje hiyo hali maana Siku hizi siwashwi tens,

Jaribu kuwa unatumia pia Dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu.
 
inaweza kuwa una Ngozi kavu na inamipasuko mipasuko , au labda una allerge, jaribu kupaka mafuta ya mgando mwili mzima kila unapotoka kuoga ili Ngozi yako isiwe kavu, kama ni shida ndogo baada ya muda itakwisha. usiku ukiweza paka dawa za tube za eczema. pia vizuri ukamuone dermatologist
 
Daaah aisee nlijuaga npo pekeyng nakumbuka hii Hali ya kuwashwa nlianza kuipata miaka fulan kpnd npo advance school nilikuwa nikioga tu asee nawashwa bac nikitoka bafun nakimbilia kitandan najikuna mwili mzima Sasa nkichungulia nje ya kitanda nkiona uchafu tu bac mwili unazidi kuwasha yaan mpk ikafka kpnd naona bora nkae wiki nzima pasipo kuoga lakn tatz wap bado lipo sema co kila siku now nkarud nyumban Hali bado yaan inafka hatua nkitaka kuoga bac nahakikisha chumba kisaf nguo kila kitu kiwe sawa then nkimaliza kuoga najifunika shuka gubigubi najikuna nmebadilisha san taulo nlijua ndo sababu ila wap hamna ktu sahv nmeamua tu nkimaliza kuoga najifuta kuanzia kiunon kushuka chini bac cku nyngne najikausha na shati tu. Daah hii Hali inatesa sana ila kumbe cpo mwnyw
 
Sema wabongo tuna ka uchawi flani cha asili,,,yaaani mtu anakazania kabisa eti anashukuru Mungu hayuko mwenyewe,jins unavyoteseka ukiona na mwenzio anateseka ndio unafurah.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…