Tatizo la kuwafikisha Wanawake kileleni

Tatizo la kuwafikisha Wanawake kileleni

tondoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
207
Reaction score
51
Habari Wakuu,

Nina tatizo. Mara nyingi ninavyo kutana katika tendo na madem, najitahidi kuwafikisha kileleni kabla yangu mm, ila hasara ninayopata ni pale ambapo wakifika kileleni wanalegea kabisa kiasi kwamba najikuta najishughulisha mwenyewe.

Hivi hii hali ni kwangu tu au na hata nyie imewahi kuwakuta? Mimi namini kwa kufanya hivyo ni kulinda heshima yangu. Nipeni maoni yenu tafadhali.
 
Hiyo ni kwako tu aiseee....

Mie sijawahi kumfikisha hata mmoja kileleni.........
 
Hahh hah inabidi uwe unawakatia stimu ili muende sawa na hata akikupita badi iwe kwa muda mfupi ili kila mmoja afike kilimani.lkn ni bora ufanye kihalali manake zinaa ni harmful.
 
Habari Wakuu,

Nina tatizo. Mara nyingi ninavyo kutana katika tendo na madem, najitahidi kuwafikisha kileleni kabla yangu mm, ila hasara ninayopata ni pale ambapo wakifika kileleni wanalegea kabisa kiasi kwamba najikuta najishughulisha mwenyewe.

Hivi hii hali ni kwangu tu au na hata nyie imewahi kuwakuta? Mimi namini kwa kufanya hivyo ni kulinda heshima yangu. Nipeni maoni yenu tafadhali.

Wewe utakuwa unachukua wazee na ambao wanakunywa matapu tapu
 
Habari Wakuu,

Nina tatizo. Mara nyingi ninavyo kutana katika tendo na madem, najitahidi kuwafikisha kileleni kabla yangu mm, ila hasara ninayopata ni pale ambapo wakifika kileleni wanalegea kabisa kiasi kwamba najikuta najishughulisha mwenyewe.

Hivi hii hali ni kwangu tu au na hata nyie imewahi kuwakuta? Mimi namini kwa kufanya hivyo ni kulinda heshima yangu. Nipeni maoni yenu tafadhali.

Achana na nyuchi zinazopiga makofi wewe, watakuja kukufia hao wazee!
 
Msome mpnz wako timing zake nawe tuliza hisia kwenye tendo ili usichelewe na mfike kwa pamoja!
 
habari wakuu,

nina tatizo. Mara nyingi ninavyo kutana katika tendo na madem, najitahidi kuwafikisha kileleni kabla yangu mm, ila hasara ninayopata ni pale ambapo wakifika kileleni wanalegea kabisa kiasi kwamba najikuta najishughulisha mwenyewe.

Hivi hii hali ni kwangu tu au na hata nyie imewahi kuwakuta? Mimi namini kwa kufanya hivyo ni kulinda heshima yangu. Nipeni maoni yenu tafadhali.

harafu kama ni usiku wanaishia kulala fofo.
 
majibu hapo juu ni utata mtupu, ila mi najua mwanamke anaweza kufika kileleni ata mara 3 kama kidume unajuhudi ila kama kwako ndio hivyo basi hiyo itakua tatizo lingine
 
haswaa..! Huyo wake na wasiwasi kama atakuwa habwii unga, sijui!!!
 
Huenda habwii unga ila ni tabia yake au tuseme ni kilema chake! Anapaswa awe anamfanyia timing ili watoke sare.

muda wakwenda church honey, hebu tuishie zetu...... Tutarudi baadae kwenye hii mada.
 
Ni kawaida ..ila ni heri mara elfu moja awahi kufika kuliko wewe uwahi kufika... i hate having ....bila kumfikisha mtu...nakosa raha kabisa...
 
Habari Wakuu,

Nina tatizo. Mara nyingi ninavyo kutana katika tendo na madem, najitahidi kuwafikisha kileleni kabla yangu mm, ila hasara ninayopata ni pale ambapo wakifika kileleni wanalegea kabisa kiasi kwamba najikuta najishughulisha mwenyewe.

Hivi hii hali ni kwangu tu au na hata nyie imewahi kuwakuta? Mimi namini kwa kufanya hivyo ni kulinda heshima yangu. Nipeni maoni yenu tafadhali.
Acha uongo! Kama wewe ni mtaalam wa kufikisha wanawake kileleni hiki unachosema si sahihi. Ukifanikiwa kumsoma vizuri, mwanamke ana hatua anapokaribia kileleni.

Hali hii huzidi kumsisimua mwanaume sana na ndiyo maana tunashauriwa tujizuie kwani any time t, unaweza kumaliza then mwanamke akabaki njiani.

So, inapofika climax mwanamke anamaliza, ni kitendo cha sekunde kadhaa tu na mwanaume unamaliza! Suala la kusema mwanamke analegea.................... usiwadanganye wanaojifunza mapenzi!
 
Back
Top Bottom