Wataalamu Kuna Co-worker mwenzangu WA kike ana tabia ya kutafuna nyuzi za nguo yaani akija kazini utasikia tu anatafuna nyuzi za nguo yaani anazikata kwenye nguo anatafuna ila amezi ila anapenda tu kutafuna na ni kila siku tatizo litakuwa Nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.