Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

100% fact
 
Miaka 10, na bado HUJAFA wala kulazwa hospitali!!! Halafu bado hilo nalo unaita tatizo?!!
 
Sio kwamba hapendi jombaaaaa,huyo keshajiongeza!!.
Mazingira nayoishi nijamii ndgo Sana hakuna Siri lifanyikalo lolote litajulikana Kama sio kwangu bas kwandugu nasimtu wahizo Mambo hata Kama angekua nazo haipiti miezi6 nimeshajua kulingana namazingira
 
Mkuu Sasa hapo kwenye tangawizi na ndiz mbivu minavidonda vya tumbo
Mimi mwenyewe ninavyo ila tangawizi nayokunywa ukali wake si wa nchi hii. Hata ndizi mbivu nakula. Kipindi cha nyuma nilikuwa nikila ndizi napata kiungulia sana, nikaja kutumia dawa moja ya kienyeji ya kutoa nyongo ikanisaidia sana.
 
Mimi mwenyewe ninavyo ila tangawizi nayokunywa ukali wake si wa nchi hii. Hata ndizi mbivu nakula. Kipindi cha nyuma nilikuwa nikila ndizi napata kiungulia sana, nikaja kutumia dawa moja ya kienyeji ya kutoa nyongo ikanisaidia sana.
VIP we vidonda vyatumbo umepona
 
Mwandendeeeeeeee!!! Kama nakuona vile 🤣 🤣 🤣
 
Mkuu sio dakika mim nilitaka niwe nauwezo wakurudia roud zingne maana mwenza sianakua anahitaji muendelee hata baada ya saa moja niweze kusimama tuendeleee Sasa inakua tofaut haisimami
Unaweza kwenda round moja but ikawa more effective zaidi ya yule anayegonga round mbili.
 
Kuna kitu inaitwa kegel exercise, ukiimaster hiyo unapiga round hata tano. Kuna namna unafikia mshindo bila kumwaga au unamwaga nusu, mnara unaendelea kusimama
 
kula vyakula vya mboga mboga kwa wingi na pia ufanye mazoezi ya mwili mara kwa mara. Pia nenda hospitali ukapime sukari maana kisukari kinasababisha jogoo asipande mtungi.
 
Wewe ni mzima wala huna tatzo ila ni mazingira ya kurudia tendo siyo mazuri imagine umemaliza tendo kwa hizo dk zako 8 halafu aje mtoto mbichi kabsa tofauti na uliekuwa nae kwenye dk 8 nakwambia dudu itasimama na utapiga mambo ndo utagundua shida siyo wewe!

Cha kufanya mshirikishe mwenzi wako wakat wa tendo atoe ushirikiano na usafi kila baada ya tendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…