Tatizo la kupenda wake za watu!

Binafsi napenda sana wake za watu ila naogopa kukamatwa na wenye mali.,
Ninapokuwa na binti ambaye hajaolewa huwa sipati mzuka kabisa!
Nifanyeje?..

Pole sana. Umeshaandika urithi?
wake za watu ni wazuri kwa kuwa kuna mtu ana gaharamia. Some of them sex life inakwua boring kwa kuwa kama familia kuna challenges nyingi ambazo zinafanya sex life inaweza kuwa secondarly. Hapo ndipo unapokuja wewe mwizi. wewe na mke wa mtu hamna chochote zaidi ya sex. tena wengine ni wajinga hadi wanafikiria kumachukua mke wa mtu awe wake. sasa unategemea mtu aliyekaa na mke wake, wana watoto na wana mipango yao, akukute na mke wake atrakufanyaje?

BAHATI NZURI JAMII HAISHTUKI KUSIKIA KUNA MTU AMEUAWA KWA AJILI YA MKE WA MTU. NA HATA POLISI DO NOT TAKE THIS CASE SERIOUSLY. UMEJITAKIA.

Nakuuliza kwa mara nyingine, umeshaandika urithi?
 
Vipi kuhusu wanaoshebedea nyumba ndogo? Ref Uzi wa TB. Mume wa mtu okay; Mke wa mtu why not?

Hapana! Hata mume wa mtu sio right. Do you understand the pain and suffering you are likely to bring to the family for taking away their father/husband? Bagamoyo/Sumbawanga kwa waganga ni halali yako. Faidi tu lakini mwisho wake utauona!
Lazima uzikwe kwa kujitakia
 
Kaulizie kuna jamaa lilikuwa bouncer lina vi hiace kigogo drive-in vingine mwananyamala moroco!!alikuwa anaitwa eddie jitu la miraba 4 nyakusa liloshiba,brother men,tozzi lakufa mtu,zungu launga la miaka hiyo!!!sasa fikiria sifa alizokuwa nazo alipewa kfro changuvu na mijbaba na mjeda ana revover jamaa kaacha magari akaenda unyakyusani kaukimbia mji na mauti ikamkuta huko kwakuwa maisha ya kijijini hakuzoea na msongo vyote vikachanganyikana akafa sasa wewe hauna hata jina mjini utafr mpaka uamue kuolewa maana utaona yanini sasa bora ujiunge na mseng kwnye taarabu!!!kila raheri!!

Kakakiiza upo? Long time no see mi thread yako ya nguvu.
Bamweleze kijana maana anataka kuonja sumu.
 
watu wengine wanajitafutia matatizo. Hivi we ukioa halafu mkeo wamlalie utajisikiaje?. Achana na huo mchezo.

onyo:
kula wake za watu, ni hatari kwa maisha yako.

mkea wa mtu ni sumu yo yo yo usijaribu chombeza,utakuja kukojoa dagaa

huna huruma, huna adabu, huna staha, wala utu kwa binadamu wenzako! Yatakupata makubwa na mabaya utafanyiwa, we endelea na mchezo wako huo.

kama hauko tayari kuacha huo mchezo unamwisho mbaya sana na utajuta kuzaliwa wa kiume..mark my words

looks like we have finally a stupid person here

you are possesed kafanyiwe maombi

you are signing your death sentence

inabidi upelekwe kwa mzee wa upako ukaombewe..

subiri ukamatwe:ranger:

really??
Hivi wanaochukua wake za watu ni nani?
 
Kaulizie kuna jamaa lilikuwa bouncer lina vi hiace kigogo drive-in vingine mwananyamala moroco!!alikuwa anaitwa eddie jitu la miraba 4 nyakusa liloshiba,brother men,tozzi lakufa mtu,zungu launga la miaka hiyo!!!sasa fikiria sifa alizokuwa nazo alipewa kfro changuvu na mijbaba na mjeda ana revover jamaa kaacha magari akaenda unyakyusani kaukimbia mji na mauti ikamkuta huko kwakuwa maisha ya kijijini hakuzoea na msongo vyote vikachanganyikana akafa sasa wewe hauna hata jina mjini utafr mpaka uamue kuolewa maana utaona yanini sasa bora ujiunge na mseng kwnye taarabu!!!kila raheri!!

Umenikumbusha mbali jamaa magari mziki mnene,alikuwa ankuja sana magomeni.Jamaakala sana k...
 
Jiandae kuwa R.I.P au ukionewa huruma sana ni kukodiwa wahuni wa ku kucameroon na picha kubandikwa
 
Tena njia rahisi ya kuacha ombea kila unapokuwa unamshughulikia mke wa mwenzio uwe unapata picha ya mume mtu anakushughulikia wewe ,najua utaacha tu
 
Haya ni masihara.......................

Hata kidogo sio masihara, hata mimi nafurahi nikikutana na mke wa mtu ni wazoefu, wanajua ku-handle mwanaume anapokuwa kwenye 18 na anapofikia climax vilevile wanatunza siri sana
 
Watu wengine wanajitafutia matatizo. Hivi we ukioa halafu mkeo wamlalie utajisikiaje?. Achana na huo mchezo.

Onyo:
Kula wake za watu, ni hatari kwa maisha yako.

Na waume za watu sio hatari kwa maisha ya kina mama? What a double standard!!!!!
 
Hilo wazo ondoa, kwanza kichawani mwako hakuna kitu kibaya kama kumsarandia mke/mme wa mtu, adhabu yake ni kifo
 
Back
Top Bottom