isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,125
- 6,250
Mzio | Allergy au Mchafuko wa damu. Wahi hospitali.Samahan kwa mwenye thread...naomba niweke tatizo langu hapa wataalam wanisaidie manake ata kufungua uzi wangu siwez (new member)
**********
kwenu wataalam...mimi nasumbuliwa na kuwashwa ngoz..yan nkigusa kitu chochote kile ngoz inawasha sana na kuvimba...baada ya muda hurud katka hali ya kawaida...nmetumia dawa nyingi za hospital and mitishamba ila bado hali ni tete...msaada jaman 😪😪View attachment 1740437