Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
nipe dawa...mambo ya jinsi yangu...achana nayo
plz wewe nipe dawa au njia ya mm kuondokana na hili ttz..mambo mengine..potezea
bebii nimekwambia twende kwa mganga pale Michungwani hutaki.....ungekuta umeshapona.....
bebii nimekwambia twende kwa mganga pale Michungwani hutaki.....ungekuta umeshapona.....
bebii..twende jumapili hii..kabla ya mechi ya Simba na Setif..nakuchukulia leo tiketi ya VIP kabisa....mzima lakini mybebii...
ok bebii yangu.....tutakwenda kabisa....umeoga leo..?
hahahahahaha...nilifuata ule ushauri wa best wa jana....na kesho na tafuta Kiboko Sim Tank....
lakini bebii...kwa nini tusihamie iliyokuwa zamani Kempiski hadi hii hali iishe....?
Ndio na mimi nilitaka kumshahuri. achukue tu cutex nyeupeKuna dawa ya kupaka kwenye hizo kucha na kuzifanya ziwe chungu kwahio utaepuka kuzitafuna!
Ndio na mimi nilitaka kumshahuri. achukue tu cutex nyeupe
aongeze ndani liquid quinine kidogo (ipo chemist yoyote)
Then awe anapaka kucha regularly. Atajiachia mwenyewe