Hapo kweli sijui hata nawaza nini stress zimeniambata sana
Acha kabisa mkuu usiwahi fikiria kupata kitu ambacho hauna uwezo nacho.
Matokeo yakendo hayo.
Hapa duniani ukiona uakula vizuri kabisa na unashiba mengine ni ziada tuu😀😀😀😀😀😀😀
Thank mkuuAcha kabisa mkuu usiwahi fikiria kupata kitu ambacho hauna uwezo nacho.
Matokeo yakendo hayo.
Hapa duniani ukiona uakula vizuri kabisa na unashiba mengine ni ziada tuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Andika kisayansi, toa vielelezo ili tukupe ushauri sahihi. Kabla ya tatizo la kukonda ulikua na kilo ngapi, na sasa umekonda kufika kilo ngapi na kwa tofauti ya muda gani?Ndugu zangu kuna jambo linanisumbua nalo ni kukonda ghafla bila sababu. Nimepima Ukimwi sina Nimepima kisukari sina ila nina taiford je nayo inakondesha. Nimeshatumia dozi ya taiford japo sijaenda kupima kama imeisha ila hili la kupungua mwili linanichosha nafsi. Tumbo linanisumbua kiasi ila sasa hii kukonda sijajua nini wakuu nisaidieni wajuvi wa afya nahitaji majibu yenu
Na usisahau kufanya mapenzi ni muhimu sanaaaa kwa afya ya akili
Nenda kacheki kama una shida ya figo mkuu.Ndugu zangu kuna jambo linanisumbua nalo ni kukonda ghafla bila sababu. Nimepima Ukimwi sina Nimepima kisukari sina ila nina taiford je nayo inakondesha. Nimeshatumia dozi ya taiford japo sijaenda kupima kama imeisha ila hili la kupungua mwili linanichosha nafsi. Tumbo linanisumbua kiasi ila sasa hii kukonda sijajua nini wakuu nisaidieni wajuvi wa afya nahitaji majibu yenu
Hapo kweli sijui hata nawaza nini stress zimeniambata sana