tatizo la kukojowa haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tatizo la kukojowa haraka

Discussion in 'JF Doctor' started by taupe, May 2, 2011.

 1. t

  taupe Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ninikusababisha mume kukojowa haraka? Nanini afanye ili asikojowe haraka
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Nenda jukwaa la ............utapata mengi tu omba kibali anza kule kudogo kwanza utajua sababu we kila ukifungua unafikiria jf doctor unamisi mengi kama umeoa ndio kabisa ndoa yako inakuwa mpya

  ukiacha dadangu anatafuta mchumba
   
 3. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 3,335
  Trophy Points: 280
  Mwambie avae condom.
   
Loading...