Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
mkuu si wajua mafisadi wote wanachota Tanesco na tunavo andika hapa Tanesco iko ICU.. ina hali mbaya kabisa kifedha... nilikuwa Lindi hivi karibuni... yaani umeme Lindi ni shida kubwa... tanesco lindi ni kama vile mtoto anachezea switch ya taa kwa kuwasha na kuzima... umeme unakatika kwa sekunde na kuwaka... unakatika kwa dakika 2 na kuwaka... unaweza katika siku nzima... kwa kweli nilishangaa maana vifaa vya umeme vinaungua... ufisadi umeua Tz, umeua Tanesco, umeua michezo, umeua afya, umeua elimu, umedictate na kutengeneza taifa la watu waoga... naililia Tz yangu ndani ya mikono dhalimu ya CCM...Mko Dodoma mnajadili namna ya kuendelea kutawala badala ya kujadili namna ya kutatua kero za wananchi. Muda mrefu sasa mgao wa umeme unaendelea na hapa ninavyoandika hii kitu umeme umekatika na ulikatika jana, juzi na wiki yote hii na mwezi wote huu umeme umekuwa ukikatika kwa vipindi tofauti, either siku nzima au masaa. Pia toka mwaka umeanza umeme unakatika na Ni miaka 53 sasa ya Uhuru umeme unakatika.
Nimefuatilia katika hotuna ya mwenezi Nape Nnauye sijasikia neno UMEME likitamkwa. Rasimu ya katiba haionyeshi kama kupata umeme ni haki za msingi za mtanzania na mnataka tuipigie kura za ndiyo, je kwa miaka 50 ijayo umeme utaendelea kuwa sio haki yetu ya msingi? Mh Rais anazunguka dunia kutafuta wawekezaji, je watawekeza nini bila kuwa na umeme wa uhakika? Ajira zitapatikana wapi wakati kila siku giza na viwanda havifanyi kazi muda wote.
Je CCM ina maslahi gani na mgao wa umeme?
Mh Rais anazunguka dunia kutafuta wawekezaji, je watawekeza nini bila kuwa na umeme wa uhakika? Ajira zitapatikana wapi wakati kila siku giza na viwanda havifanyi kazi muda wote.
Je CCM ina maslahi gani na mgao wa umeme?
Mko Dodoma mnajadili namna ya kuendelea kutawala badala ya kujadili namna ya kutatua kero za wananchi. Muda mrefu sasa mgao wa umeme unaendelea na hapa ninavyoandika hii kitu umeme umekatika na ulikatika jana, juzi na wiki yote hii na mwezi wote huu umeme umekuwa ukikatika kwa vipindi tofauti, either siku nzima au masaa. Pia toka mwaka umeanza umeme unakatika na Ni miaka 53 sasa ya Uhuru umeme unakatika.
Nimefuatilia katika hotuna ya mwenezi Nape Nnauye sijasikia neno UMEME likitamkwa. Rasimu ya katiba haionyeshi kama kupata umeme ni haki za msingi za mtanzania na mnataka tuipigie kura za ndiyo, je kwa miaka 50 ijayo umeme utaendelea kuwa sio haki yetu ya msingi? Mh Rais anazunguka dunia kutafuta wawekezaji, je watawekeza nini bila kuwa na umeme wa uhakika? Ajira zitapatikana wapi wakati kila siku giza na viwanda havifanyi kazi muda wote.
Je CCM ina maslahi gani na mgao wa umeme?
Mkuu hata ukishindwa kwenda choo peleka lawama zako Lumumba

mkuu si wajua mafisadi wote wanachota Tanesco na tunavo andika hapa Tanesco iko ICU.. ina hali mbaya kabisa kifedha... nilikuwa Lindi hivi karibuni... yaani umeme Lindi ni shida kubwa... tanesco lindi ni kama vile mtoto anachezea switch ya taa kwa kuwasha na kuzima... umeme unakatika kwa sekunde na kuwaka... unakatika kwa dakika 2 na kuwaka... unaweza katika siku nzima... kwa kweli nilishangaa maana vifaa vya umeme vinaungua... ufisadi umeua Tz, umeua Tanesco, umeua michezo, umeua afya, umeua elimu, umedictate na kutengeneza taifa la watu waoga... naililia Tz yangu ndani ya mikono dhalimu ya CCM...
Umeme ni tatizo sana na limekuwa tatizo sugu linalosababishwa na watu.
hivi tanesco umeme wanatupa favor au ni haki yetu?na je haki za wateja ni zipi?wanakata wanavyotaka,wanarudisha wapendavyo hakuna taarifa.wameshaona watanzania ni makondoo.

Niko Dodoma maeneo ya Kikuyu kwa hivi sasa, ila tangu nifike hapa ni karibu wiki sasa kumekuwa na mgao wa kimyakimya au kwa kifupi tuuite mgao wa "kihuni".
Hii nchi imebakiza kuingizwa sokoni tu.