chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,146
- 2,338
salute wakuu
nimekuwa nakutwa na hili tatizo la kupenda kuhama hama. Yaani nikiwa mkoa mmoja lazima nitahama niende mwingine. Kama nimepanga nyumba labda mbagala nitahama niende bunju then makongo. Hata shule ilikuwa lazima nihame shule moja niende nyingine. Hata masomo nilihama toka sayansi nikaenda arts then nikarudi sayansi. nimetafakari nikaona ni tatizo naombeni msaada.