Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,363
- 42,264
Kwa kuongezea umeeleza mengi...asikae vikao vya gossiping...pia usitake watu wamjue sanaa.Ni ngumu kujua unashd gan hasa kwasisi tunaokutan jukwaan ila nina haya
Jifunze wanavyofanya wenzako nawe fanya hivyo hvyo (fanya yale mazur tuu )
Kama si mtu wa social fanya social ya kinafiki
Punguza kujisifia kama n mtu wa sifa
Kaa mbali na mipango ya watu hapo ofisin
Punguz kucheka cheka na mademu zao
Punguz kihereher na kimbelembele.
Usifanye kaz had mda wa zaida either tuu umeambiwa kwa maelekezo maalumu
Punguza famililazation
UmerogwaHabari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu
Sawa sawa tawiiireUsifanye kaz had mda wa zaida
Wewe utakuja kufanikiwa sana na kua mtu Mkubwa.Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu
Kama kazi inakukosesha amani.Piga chini nenda kajiajiri.Hiyo kazi si ya babako!!!Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu
Kwamba Mungu ana makengeza haoni vzur?Yuko sawa mkuu
Mungu anaona hata ukimwiJau nini?
Kweli kabisaAogee kwenye koridor sio chooni
Mkuu na kama ana magadi achanganye
Na maji ya baharini
M nisharudi OFISIN na hii maxaYas
Si ni sawaMimi ni intorovent huwa siongei sana na mkimya kupitiliza
Hii ndo style yangu na ukinikuta tunavopiga cheers na liquor visungura na vikonyagi unaweza sema huyu mwingine dish limeyumba kumbe tunatafuta stim kali ya fasta kuendelea kuwaza dili za helaKuwa neutral, Kuna sehemu huwa najifanya msela msela, muda mwingine mpole na mchamungu, muda mwingine muhuni Tu yaani inafikia kipindi mtu ukimwambia Nina degree mbili za fani tofauti anakataa kabisa.....juzi juzi TU nilikuwa sehemu nimekaa na wahuni tunakunywa visungura na Mimi ndio mnunuaji kwa sababu unakuta asilimia kubwa ya wahuni HAWANA pesa......nitaendelea baadae
Just fanya kazi na acha propaganda za makazini hakuna anaekuchukia bali unapenda kusikiliza maneno na anaekuambi a maneno hayo ni kuwa ameshajua udhaifu wako ndgu. Kama una experience ya kazi nne na hujajua kuwa makazini wale sio ndgu zako na hawakupendi kwa lolote basi umefeli. kwa upande wangu huwa naona watu kazini kama nyau tu na niko pale kufanya kazi na nilipwe zangu nitembee. Almost baada ya miezi 6 kazini wote wakishajua kuwa mm ni mtu wa aina gani basi wote hutaka kuwa marafiki zangu basi nawakataa sichekii na wowote. Kuna limanzi limoja linaanza kuniambia wewe ni muislam gani hatujui kama una familia na hatuoni unachepuka ππππ nikajua kumbe ni shetani wa uzinzi ndio unawasumbua washenzi nyie ππππMkuu Mimi sio mtoto mdogo nisijue upendo na chuki
Kitu Cha kwanza ninachihisi kuchukiwa ni kusengenywa bila sababu
Cha pili boss kunitishia kuniachisha kazi tena haniambii direct anawaambia watu wengine
Tatu kutopewa vitu ambavyo wafanyakazi wenzangu wanapewa kama off days, overtime na vitu vingine Kama mfanyakazi
Kutafutiwa makosa yasiyo ya maana
Na mwisho kabisa kutokupewa priority yoyote kazini yaani kudharauliwa