mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,251
- 14,011
lzewe6xssdgxzrff6dHabari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu
KWANZA POLE SANA KIJANA,HAYO MAISHA PIA NILISHAWAHI KUYAPITIA KITAMBO.Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu
Kama alikuwa anaenda Kwa waganga hiyo roho haiwezi kutoka kirahisiUna roho ya kukataliwa
Omba Mungu ikuondoke
Oga na chumvi ya mawe huku unaomba hiyo roho ikuondokee
Arudi kwa Mungu atamsafisha atakaa sawa tuKama alikuwa anaenda Kwa waganga hiyo roho haiwezi kutoka kirahisi
Hakuna kitu Kama hiki Kama una rejected power spirit haijalishi Una nini watu wanakuwa hawaioni potential yako .lzewe6xssdgxzrff6d
KWANZA POLE SANA KIJANA,HAYO MAISHA PIA NILISHAWAHI KUYAPITIA KITAMBO.
KUCHUKIWA KAZINI HUWA MARA NYINGI KUNASABABISHWA NA MAMBO YAFUATAYO,NITAYAORODHESHA YOTE HAPA HALAFU WEWE MWENYEWE UTAELEWA UPO KWENYE KIPENGELE KIPI.
1.UKIWAZIDI ELIMU/AU UKIWA SMART KUWAZIDI WAFANYAKAZI ULIOWAKUTA HAPO KAZINI IKIWEMO NA BOSS WAO.
2.UKIWA NI MTU UNAYEJIAMINI SANA NA MWENYE MISIMAMO NA HUPENDI KUPEWA MAAGIZO YA KIJINGA YASIYO NA MANTIKI,PIA HUTAKI MAISHA YA KUJIPENDEKEZA AU KUISHI KAMA CHAWA.
3.UKIWA SERIOUS SANA NA MAMBO YAKO NA HUNA MUDA WA KUJICHANGANYA NA WAFANYAKAZI WENZAKO,HII HUTOKEA ZAIDI KWENYE SEHEMU ZA KAZI AMBAZO WATU WANAFANYA MAGENDO KWA HIYO WANAHOFIA USALAMA WAO USIJE UKAWACHOMA SIKU ZA MBELENI.
4.KAMA HAUPO KWENYE VIPENGELE VYOTE HAPO JUU BASI UJUE UMEFANYIWA MAMBO YA KISHIRIKINA,UMEFUNGWA ILI MAISHA YAKO YOTE UWE NI MTU WA MAHANGAIKO WATU WAKO WA KARIBU HAWATAKI UFANIKIWE KIMAISHA.
KAMA UNAHITAJI USHAURI AU UNA MASWALI ZAIDI KUWA HURU KUNICHEKI NITAKUELEKEZA KIUNDANI ZAIDI
Jipanga ufanye yako mzeeHabari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu
Arudi kwa Mungu atamsafisha atakaa sawa tu
Safi sana umeongea Kiroho sana! wachache watakuelewaHuenda hukupangiwa kuajiriwa kufanya kazi, labda ulitakiwa kua mwajiri. Wakati mwingine hua tunang'ang'ania mahali tusipotakiwa kua.
Waganga ndo wachukua nyota wenyewe sasa usipostuka imekula upande wakoKwenda Kwa waganga ndo chanzo cha yote hayo maana wapo watu Kama 10 nawajua wana hiyo kitu Ila chanzo ni kwenda Kwa waganga
Hiyo rejected power inatokea wapi?Hakuna kitu Kama hiki Kama una rejected power spirit haijalishi Una nini watu wanakuwa hawaioni potential yako .
Fanya maombi sana.Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu
Sio kwamba wanachukua nyota this is illusion.Waganga ndo wachukua nyota wenyewe sasa usipostuka imekula upande wako
Anatakiwa aende wapi?ila usinitajie wakina mwamposa maana na wao wanapita njia zilezile za wagangaKwenda Kwa waganga ndo chanzo cha yote hayo maana wapo watu Kama 10 nawajua wana hiyo kitu Ila chanzo ni kwenda Kwa waganga
Kwenda Kwa wapiga ramli zaidi waganga na manabiiHiyo rejected power inatokea wapi?
Habari za jumapili wananzengo Moja Kwa Moja niende kwenye mada
Ni hivi nimekua na tatizo la kuchukiwa kazini hii Sasa ninayofanya ni kazi yangu ya nne lakini Kila ninapofanya kazi wafanyakazi wananichukia hii inaennda Moja Kwa Moja mpaka Kwa maboss zangu nao wanaanza kunichukia.
Mimi sio mvivu nafanya kazi vizuri tuu nawahi kazini pia ni mtu mwenye upendo pia ni mpole sana si mtu wa ugomvi, Shida inaweza kua ni nini?
Kazi ya Sasa nimeanza vizuri tuu ghafla boss kaanza kunitafutia visa anataka kunipunguzia mshahara wakati nalipwa sawa na wengine Ambao nimewazidi majukumu. Nafanya kazi zaidi ya masaa tisa Kila siku mpaka siku za off naambiwa niingie kazini.
Nashindwa kuelewa shida ni nini naombeni msaada wa mawazo nimechoka kutafuta kazi Kila siku nataka nikae sehemu Moja nifanye maisha.
Natanguliza shukran zangu
Ndio ishamkuta sasa hiyo hali unatakiwa umuelekeze aende wapi?Kwenda Kwa wapiga ramli zaidi waganga na manabii
Waswahili wengi au waafrica wanapenda Sana kwenda Kwa waganga na kupiga ramli , anapoona mambo hayaendi anaenda kuogeshwa dawa za Mvuto ,kukubalika n.kAnatakiwa aende wapi?ila usinitajie wakina mwamposa maana na wao wanapita njia zilezile za waganga