Tatizo la kioo NOKIA ASHA

Tatizo la kioo NOKIA ASHA

mambali

Senior Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
170
Reaction score
64
jaman
hv naweza kupata display mpya ya simu ya nokia asha 311 touch screen
kwan simu yangu ilianguka so ina clek,naomba msaada wap naweza kupata!!
 
nunua simu mpya kaka achana na kurekebisha!!simu siyo gari,ikikorofisha unaiweka kapuni unatoka na kitu kipya!
 
Hata mimi Htc langu limeanza kunya wino tokea juu polepoooole na chini tena polepoooole, sasa sijui vikikutana ndo mwisho wa dunia au.
 
Back
Top Bottom