housekeeper
Member
- Apr 21, 2020
- 31
- 104
Shukrani sana mkuu!Hilo tatizo lako limekaa kiroho zaidi, kama dini yako ni muislam tafuta masheikh wakusomee kisomo, kama mkristo ni maombi yatakusaidia na kama ni mpagani inabidi utafute mganga mashuhuri.
Hakuna swali linalokosa jibu na vilevile hakuna tatizo linalokosa utatuzi.
Usikate tamaa, yote kwa yote amini Mungu atakusaidia.
Shukrani sana, acha mkongwe mshana jr nae aje atoe neno
Amen nimajaribu kwenye maombi ila huwa vinatulia na baadae kurudi (hali ya kuwashwa)Maombi ndio njia pekee...
Anza kwa Toba na rehema..
Soma Zaburi 51...
Omba kwa kumaanisha,
Sali hivi, Yesu ninajiosha kwa damu yako takatifu, ninaomba Toba na rehema kwa ajili ya zinaa niliyofanya unataja majina ya wanawake au wanaume, naomba unirehemu na kuniosha kwa damu na dhambi hii ya zinaa, ninavua vazi hili zinaa kwa damu ya YESU
Omba Kila siku mpaka utakapoona huoni hali hiyo Tena...
Hahaha ni serious mkuu, sasa kuoga miaka 12 almost ni kweli siogi nikatakata?Bosi hakikisha unaoga vizuri, utakua huogi wewe, alafu ndoto, sababu zake huwa ni mawazo yako, na matendo yako ya kila siku, yaani wwe uwe unapenda matako...
AmenHapo dawa ni maombi tu
CHANZO: ilikua mwaka 2012 usiku wa manane, niliona nimelala na mtu pembeni ya kitanda na alikua na sura ya kike. (Ingawa sura sikuitambua.
Nasikia majini hayapendi vitu haramu aanze kula kitimoto kama hali,na kama jini litakuwa bishi itabidi aanze kuvuta bangi ili kulichanganya kabisa halitakaa limsahau kwa jambo atakalolifanya kwa kulivutisha bangi..!Piga nyeto yataisha hayo
Mchana majukumu mengi mkuu!Kuna asubuhi na mchana ila umeona usiku huu ndio muda bora wa kuleta kisa chako cha usiku wa manane
Enwei, asante kwa kufanya usiku uwe mrefu