Mparee Halisi
Senior Member
- Jan 4, 2014
- 104
- 8
Habari,simu yangu tangu asubuhi inazima na kuwaka kila wakati. Ikiwaka inakaa tu kama sekunde 5 inaji Restart tena. Niliifanyia Data Wiping/Factory Reset ikakataa kufuta ma file.
Naomba msaada tafadhali.
Naomba msaada tafadhali.