LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,223
Wakuu naomba msaada wenu kwenye simu ya huawei y 300 nimekuwa nikitumia hii simu ila sasa ninapokuwa nimempigia MTU au nimepigiwa naongea kwa sekunde /dakika chache baada ya hapo inakata kinachotokea ni kuwa MTU ninayeongea nae akiongea mimi namsikia ila yeye anakuwa hanisikii inakuwa kama vile mic yangu mbovu.
Inanibidi mpaka nikate na kupiga tena na ninaweza kuongea maneno mawili ikakata tena
Wakuu naomba msaada wenu yaweza kuwa nini tatizo?
Inanibidi mpaka nikate na kupiga tena na ninaweza kuongea maneno mawili ikakata tena
Wakuu naomba msaada wenu yaweza kuwa nini tatizo?