2015 niliumia goti mpirani na likawa halitaki kukunja mguu wa kushoto nikawaelezea wachezaji mpira maveterani wakanambia ww ukunje mdo mdo tu utakubali kweli nikawa najikaza ivo ivo mwisho mpk goti likakubali ila uwe mvumilivu tu na hayo maumivu yake
Dah m ni yanki sanaaa 2015 namaliza F4 aHali mkuu